Nauliza kwa sasa tunaona UMISETA na UMITASHUMTA unafanyika, serikali imetenga fungu lakini matokeo yake ikifika hatua ya kitaifa yaani mfano tumepata vijana kikosi cha taifa kwenye football, volleyball, netball, basketball, handball, matokeo yake hawaendi popote wanarudi tu makwao!
Maana yake nini sasa, yaani lengo la mashindano hayo ni nini? Maana ni kama tunapoteza muda na matumizi mabaya ya fedha, kwanini serikali isiandae mazingira rafiki kwa hao vijana kuendeleza vipaji vyao?
Mfano kuandaa academy centers kwa hiyo michezo hata academy moja kwa kila mkoa ili kijana akifika hatua ya kitaifa anahamisha kutoka shule aliyokuwa anasoma mpaka kwenye academy husika ili kuendeleza kipaji na masomo pamoja.
Pia kwanini Serikali isiingiee ubia na team kubwa kama Azam, Simba na Yanga ili mashindano hayo vijana wasambazwe kwenye academy za team hizo. Pia kwanini Serikali isiingiee ubia na team za Ulaya kama Arsenal, Chelsea, Ajax, angalau kwa mwaka hata kama serikali itapeleka vijana watano tukijipa long plan naamini after ten years tunakuwa na vijana bora, tunakuwa na uwezo wa kushiriki michuano mikubwa kama Afcon World Cup.
Mfano Rwanda imeingia ubia na Arsenal kwenye suala na utalii ndio maana jezi za arsenal zimeandikwa Visit Rwanda, pia Rwanda hiyo hiyo kama mliona wakati wa mashindano ya African Football League AFL alikuwa sehemu ya wadhamini. Hivi vitu vinawezekana.