GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Na kipindi cha mavuno huwekq barriers kila palipo na njia panda ili wajipatie ushuru kama sehemu yao ya dhuruma kwa wananchi/wakulimaSijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia:
1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini!
2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini
Ikiwa Serikali haikumsaidia mkulima kulima, iweje impangie jinsi ya kuyatumia mazao yake?
Mkulima analima kwa ajili ya manufaa yake au kwa ajili ya kuwanufaisha wasiolima?
Serikali huwa "haioani" aibu?
sahihiKama kura tu wanaiba mchana kweupe! Hiyo aibu wanaitoa wapi? Jukumu lake kuu lilikuwa ni kuwatafutia tu wakulima masoko ya uhakika ya kuuzia mazao yao, na pia kiwaepusha wakulima na madalali.
Na siyo kuwapangia nanmna ya kuuza. Maana haiwasaidii wakulima kwa chochote! Hata hiyo mbolea ya ruzuku imekaa kibabaishaji tu.
zingatia utaratibu,
Uwe na adabu kwa serikali yetu na viongozi wake.
Mjinga wewe adabu ninayo Kwa wazazi wangu na kazi yangu na zaidi kuliko Yote to the Most High in Heaven God almighty sio wajinga na wauaji kama wewe et.al!Uwe na adabu kwa serikali yetu na viongozi wake.
Hilo la kusafirisha nje linakuwaga na sababu zake, mara nyingi zinakuwaga za msingi, hiyo kuchoma sijui mahindi mabichi sijawahi kusikia.Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia: