Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

Serikali inatoa wapi ujasiri wa kumzuia mkulima kutumia mazao yake kwa namna aonavyo ina manufaa kwake?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Sijui kama haya bado yapo siku hizi, lakini siku za nyuma ilikuwa kawaida kusikia:
1. Marufuku kufanya biashara ya mahindi mabichi kuepuka kuepuka upungufu wa chakula nchini!

2. Marufuku kusafirisha mahindi, mchele, n.k., nje ya nchi kuepuka upungufu wa chakula nchini

Ikiwa Serikali haikumsaidia mkulima kulima, iweje impangie jinsi ya kuyatumia mazao yake?

Mkulima analima kwa ajili ya manufaa yake au kwa ajili ya kuwanufaisha wasiolima?

Serikali huwa "haioani" aibu?
 
Back
Top Bottom