Serikali inatumia Mfumo gani kuwapata Mawakili wake? Au Mawakili Bora Huwa wanaamua kujiajiri wenyewe?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kama wee ni mfatiliaji wa Kesi ya LISSU, utagundua kua Mawakili wa Serikali ni Vilaza Wakubwa ila wasomi .

Kesi hii ya LISSU ,inaendelea kuonyesha kwanza, TUNA KATIBA MBOVU , pili ,Serikali ina wanasheria Vilaza.

Silaha pekee ni Serikali kuingilia Mfumo wa Mahakama.

Hii ndio Sababu Huwa inafanya niseme, Ukiwa na IQ kubwa, automatically huwez kua mwanaccm, au kua Polisi!!
 
Hakuna wakili mwenye uwezo na ustadi atakubali kuwa wakili wa serikali au DPP. Mawakili wazuri wazuri wote wako kwenye law firms, waliobaki madungaembe ndio wanakuwa mawakili wa serikali au DPP. Ndio maana kesi karibu zote za Tanzania kushitakiwa mahakama za kimataifa tunashindwa.
 
Kama wee ni mfatiliaji wa Kesi ya LISSU, utagundua kua Mawakili wa Serikali ni Vilaza Wakubwa ila wasomi .

Kesi hii ya LISSU ,inaendelea kuonyesha kwanza, TUNA KATIBA MBOVU , pili ,Serikali ina wanasheria Vilaza.

Silaha pekee ni Serikali kuingilia Mfumo wa Mahakama.

Hii ndio Sababu Huwa inafanya niseme, Ukiwa na IQ kubwa, automatically huwez kua mwanaccm, au kua Polisi!!
Inao mawakili wazuri lakini kesi zinazoletwa na Jamhuri hata umpe Lissu aisimamie hatoboi maana ni za mchongo. Kupata facts za kumweka hatiani mtuhumiwa ni ngumu mno maana ni za kusogeza muda wa kisiasa
 
Mkuu waliopo serikalini wengi wao kwa asilimia zaidi ya nusu wameajiriwa kwa sifa ya kuwa na kadi ya ccm na si utashi wa taaluma zao. Wengi ni vilaza, hata ambao hawako serikalini na ni washabiki wa ccm hebu wafuatilie kwenye mambo yao, utagundua wengi ni vilaza sana si kiutendaji au kudadavua mambo...sasa hao ndio ajira zikitokea wanapewa kipaumbele wao...ni aibu sana, hapo umeona upande mmoja chungulia sekta zote utajua tupo wapi kama nchi
 
Kama wee ni mfatiliaji wa Kesi ya LISSU, utagundua kua Mawakili wa Serikali ni Vilaza Wakubwa ila wasomi .

Kesi hii ya LISSU ,inaendelea kuonyesha kwanza, TUNA KATIBA MBOVU , pili ,Serikali ina wanasheria Vilaza.

Silaha pekee ni Serikali kuingilia Mfumo wa Mahakama.

Hii ndio Sababu Huwa inafanya niseme, Ukiwa na IQ kubwa, automatically huwez kua mwanaccm, au kua Polisi!!
Wakili wa Serikali Vs Law firms
Mwalimu wa serikali Vs Mwalimu wa Private Schools e.g Cambridge or EM
Nurse wa Mwananyamala Hospital Vs Nyrse wa Aga Khan
Mfanyakazi wa Serikali Vs .....
 
Kama wee ni mfatiliaji wa Kesi ya LISSU, utagundua kua Mawakili wa Serikali ni Vilaza Wakubwa ila wasomi .

Kesi hii ya LISSU ,inaendelea kuonyesha kwanza, TUNA KATIBA MBOVU , pili ,Serikali ina wanasheria Vilaza.

Silaha pekee ni Serikali kuingilia Mfumo wa Mahakama.

Hii ndio Sababu Huwa inafanya niseme, Ukiwa na IQ kubwa, automatically huwez kua mwanaccm, au kua Polisi!!
Na ndiyo maana Huwa serikali inachemka kwenye mikataba na kesi katika mahakama za kimataifa
 
Kwenye kesi ya DAWASCO Mkono & co walishinda.
Hawa mawakili wa serikali kinachowabeba ni amri toka juu kwa mahakimu na ma-judge. Wao wanachojua ni kuweka mapingamizi tu,ambayo kimsingi ni delaying tactics tu. Kuna mtu akinuiambia arguments za maana wanapewa na lawyers ambao wako behind the scenes, kama kina Prof Kabudi nk
 
Naona sana aibu kujitambulisha mimi ni Mtanzania😥😥
 
Vichwa vipi ila kinachowawafanya waonekane vilaza ni jinsi watumishi wa umma wanavyofanya kazi, ukishaajiriwa serikalini Kuna kujiachia kupita kiasi na hii sio Kwa wanasheria tu Bali idara zote za serikali
 
Back
Top Bottom