Issue hii ni nyeti na sio suala la kuangalia mke na mme tu na mambo ya kutiana, kuna issue ya watoto ambayo kwangu ni muhimu sana. Child development ni muhimu sana, na role ya baba na mama ni nguzo kuu.
Wewe unayetoa mfano wa mme Dar na mke Japan na kufananisha issue ya Mtwara vs Kagera ni wazi hujui usemalo.
Mwajiri anaweza kukuhamishia mahalai popote ambapo anaona unaweza kusaidi taifa. Hilo swala la wewe kuwa na mkeo au mume karibu halipo katika mkataba wa kazi , hapo ni utasha wa mwajiri tu lakini hakuna kanuni wala sheria ya utumisha wa umma ambayo inasema lazima mume au mke wakae karibu.
Kuwenu wa pole angalie barua zenu za ajira kwanza ndipo muaze kuilaumu serikali fanyeni kazi bwana acheni maneno. Kupata vishawishi hiyo ni akili yako tu na kujiiendekeza.
Issue hii ni nyeti na sio suala la kuangalia mke na mme tu na mambo ya kutiana, kuna issue ya watoto ambayo kwangu ni muhimu sana. Child development ni muhimu sana, na role ya baba na mama ni nguzo kuu.
Wewe unayetoa mfano wa mme Dar na mke Japan na kufananisha issue ya Mtwara vs Kagera ni wazi hujui usemalo.
acheni kutafuta mchawi wa vifo vya ndoa........wachawi ni wanaNdoa wenyewe... Ndo maana mnaulizwa kwenye usaili kama mko tayari kafnya kazi mahala popote....!!miaka ya mwanzo ilikuwa utaratibu wa lazima kwamba mume ambaye ni mtumishi wa serikali anapohama basi lazima mkewe kama naye ni mtumishi anapoomba kumfuata huko alikohamia lazima apewe naye transfer kumfuata, lakini kwa sasa utaratibu huo umekufa kabisa. Spouse anapoomba kumfuata mwenza wake hujibiwa hakuna nafasi na atapewa vitisho kwamba achague kazi au mume! lakini hapo hapo watumishi wengine wenza wao wanapohamishwa na wao wakiomba uhamisho maombi yao hukubaliwa haraka haraka.uhamisho wa sasa unafanywa kwa kujuana, upendeleo,rushwa(ya pesa na ya ngono) maana ya ndoa ni kuishi wawili sasa ni ndoa gani ambayo mume yupo mtwara na mke kagera! Au serikali yenyewe inaona wenye haki ya kuishi na wenza wao ni vigogo tu ambao wake zao hutafutiwa nafasi popote pale waume au wake zao vigogo wanapohamia lakini watumishi wa chini huambiwa hakuna nafasi na hukaa miaka tele mbali na wenza wao. Kuna matukio ya wakubwa kuwahamisha waume vituo ili wapate nafasi za kujivinjari na wake wa watumishi hao. Serikali inajua kuajiri tu watumishi bila kujali hao watumishi nao walizaliwa na wanahitaji malezi ya wazazi wawili! Mtu anapokaa mbali na mwenza wake obviously ataelemewa na vishawishi ambavyo kama angekuwa na mwenzake angeweza kuvihimili, katika zama hizi za ukimwi tuzidi kuona siyo kuvunjika ndoa tu ila vifo zaidi!
Mkuu mazingira ya sasa yamebadilika kubaliana nayo tu na muamini mkeo au mumeo basi. Kuhusu sijui uko Kagera na wewe Mtwara. Kuna jamaa yangu mie anafanya kazi Dar na Mkewe yupo Japan sasa huyo unasemaje? Come on grow up and get a life!!!