NDOA ni kuishi wawili/pamoja kama itatokea watu wakaishi mbali it should be on temporary basis only! mfano for further studies au wakati unashughulikia transfer,otherwise it is not MARRIAGE ni artificial marriage! PAPER MARRIAGE na Mwajiri yeyote anatakiwa kutambua na kuheshimu haki hiyo,otherwise hakuna tofauti na SLAVERY! Kwa wakristo hata mtume Paul alisema ili kuepuka ZINAA WATU WAOE! UTAEPUKA ZINAA VIPI NA MKEO AU MUMEO YUPO MBALI?!? Eti ngono ni kuendekeza tamaa I beg to differ kama wewe ni mwanaume au mwanamke RIJALI NA siyo mtoto si riziki,lazima utasikia kiu ya kujamiiana muda unapofika kama hamu ya chakula au maji. NDOA INA FAIDA NYINGI si kuepuka zinaa tu, MALEZI ya watoto tabia zao,utafiti umeonyesha kulea mtoto kwa mzazi mmoja tu kunachangia HOMOSEXUALITY! SAMAHANI KWA WALIOELELEWA NA MZAZI mmoja,nasema inachangia its one of the MANY factors,NOT the only cause. Madhara ni mengi,kiuchumi na kijamii, which life are you getting kwa kuishi mbali na spouse wako! wewe upange nyumba,na yeye apange yake,kila mmoja anunue kitanda,tv, gari,furniture, pay bills etc etc wakati mngekaa pamoja mngeshare everything even toothpastes! wanaoona marriage is just possessing legal papers waendelee na unafiki wao, HYPOCRITES wapo na wataendelea kuwepo na wagonjwa wa kibailojia wataendelea kuwepo!