Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Wakati Mh. Rais akipanbana kupata kodi za kufanya maendeleo hali imekuwa opposite upande wa Zimamoto. Kama mjuavyo ni sheria kila anaefungua office za kuuza gesi awe na fire extinguisher pamoja na certificate kutoka ofisi za Zimamoto.
Hii ni 100'000 kwakila anaeuza gesi kwa mwaka. Badala yake wanauza gesi bila fire extinguisher/certif toka Zimamoto.
Inapofika muda wa ukaguzi wah hawa hupewa nusu ya bei ya kulipia certificate (50,000) na kuongezewa kiasi kwa kukosa fire ext. Baada ya hapo hulindwa mpaka mwakani mdaa wa kulipia.
Serikali iamke sasa ikague kote Goba, Mbezi, Kibamba, Tegeta. Kila sehemu kuna gesi; hawa watu hawana fire extinguisher, hawana certificate kutoka Zimamoto ya kumuidhinisha yuko okay kuuza gesi.
Safety kwanza. Muda muafaka Takukuru kupita na Zimamoto kila sehemu wanapouza gesi na wakikosa vitu husika wapigwe faini.
Kuanzia Massana mpaka Mbezi Mwisho, kuna maduka zaidi ya 100 yanauza gesi na hawana certificate. Hizo ni 100'000'000.
Njoo Mbezi, kuja Ubungo; maduka zaidi ya 100' hawana certficate. Hao ni walio barabarani hujaingia kwa ndani 100'000'000.
Njoo Ubungo mpaka Tabata. Ingia ndani kule kila sehemu ni gesi hawna certificate, hawana fire extinguisher.
Tuwalinde hawa watu. Safety 1st sio tu hiyo hela, na usalama. Hawana fire extinguisher, ikitokea moto wanasaidikaje?
Tunaomba muda huu tunaoambana na corona ikiisha tuhakikishe kila muuza gesi ana vitu husikaa vyote.
Na ukaguzi uwe endelevu.