Serikali inavyowawezesha Wachina, halafu inalia machozi ya mamba!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
1717735447596.jpeg

Serikali yetu tukufu imejaa wanafiki wa kupindukia. Inalia machozi ya mamba na watanzania huku nyuma wakila kwa urefu wa kamba zao na wachina.

Nimefuma hiyo hapo juu mahali fulani ili wabunge wetu, wananchi na hasa viongozi wajue wanavyoliangamiza Taifa badala ya kuwaendeleza Watanzania.

Just imgine, kwa mfano hapo juu. mkndarazi mmoja tu CCECC(China Civila Engineering Construction Compant) imevuna TRILIONI4.9 (TRILIONI....TRILIONI..TRILONI).

Kinachofanyika na wachina ni kununua DOLLAR yote toka kwenye soko huru, na kupeleka kwao China.
Halafu sisi tunabaki kulalamika dollar haipatikani nchini, stupid Mwigulu Economics.

Sawa, tuonane 2025.
 
Wakati huo tulikopa China kiasi gani?
 
Back
Top Bottom