Uko sahihi sana!Wazungu wana msemo wao usemao adui yako mkabidhi pikipiki.
Wakiwa na maana kwamba pikipiki ni usafiri hatari sana kwa maisha, haupaswi kuutumia kila siku kutwa nzima.
Tanzania bado fursa salama kuliko bodaboda kwa vijana ni nyingi sana kama serikali ikiamua kuzimulika vijana wazione.
Hasara wanazopata bodaboda na wanazosababisha kwa wengine na taifa ni kubwa kuliko kama watu wanavyodhani. Wanaumia na kufa wengi, wanaharibu magari ya wengine barabarani, wanaharibu barabara ili wapate sehemu za kuvukia kwa urahisi, wanaiba na kufanya uhalifu kwa kutumia bodaboda, wanagonga watoto na watu mitaani.
Tanzania bado ina nafasi kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, uchimbaji, biashara, viwandani, sanaa, michezo na ajira. Tufanye kila kitu tuwaondoe vijana hawa barabarani kwa kuwaonyesha fursa nyingine salama zaidi kwao.
Bodaboda hizi pia zinawasababishia magonjwa ya njia ya hewa, uhanithi, uchovu na msongo wa akili. Wengi wanakabiliana na halii hii kwa kuvuta bangi, kunywa pombe na vinywani vya energy.
Bodaboda ni rahisi sana kutumiwa kwa malipo na watu waovu kujipatia kipato.
Mbaya zaidi kwa wanasiasa wamepunguza adhabu ya makosa kwa bodaboda kutoka 30,000 hadi 10,000. Hii inaongeza idadi ya makosa kwa bodaboda.
Serikali chakavu itawahesabu bodaboda kama watu wenye ajira.
Pikipiki na baiskeli walizopewa zilitumika tu kuhimiza wapiga kura waende kupiga kura asubuhi na mapema kabla wengine hawajaamka. Ndio maana CCM wote walimaliza kupiga kura kabla ya saa 5 asubuhi. Hazitumiki kama bodaboda zile.Mneshawatumia wakati wa uchaguzi sasa hivi mnaona tatizo.
Kama wakati wa kampeni mliwagawia pikipiki tatizo ni hao think tank wenu.
Hata kama hawataki lakini bodaboda ndio adui yao namba moja CCM na serikali yake. Bodaboda hawa hawakatai kazi yoyote yenye malipo kwao bila kujali matokeo yake.Uko sahihi sana!
Hongera kwa mtazamo mzuri mpana!! Japo najua ni ngumu sana kufanyiwa kazi hayo mawazo yako kwa sababu wafanya maamuzi wanawatumia hao bodaboda kwa faida zao pia.
kwahiyo unafuta ajira mchongo yenye watu zaidi ya Milioni 1.5,,, halafu huna solution ya haraka?...chadema ikikamata madaraka kitu cha kwanza itapiga marufuku bodaboda wote na kusitisha uingizaji wa pikipiki nchini
Bodaboda ni ajira, acha kuwaonea wivu.Pikipiki na baiskeli walizopewa zilitumika tu kuhimiza wapiga kura waende kupiga kura asubuhi na mapema kabla wengine hawajaamka. Ndio maana CCM wote walimaliza kupiga kura kabla ya saa 5 asubuhi. Hazitumiki kama bodaboda zile.
Hata hivyo usafiri wa bodaboda serikali isiuhesabu kama ajira ya vijana, ni mateso kwa vijana na hasara kwa wengine na taifa. Vijana wote hawa wenye bodaboda wanaweza kumezwa na kilimo, uvuvi, ufugaji na biashara. Na wachache wakamezwa na utumishi wa umma na private na uchimbaji.
vilema na vifo ni vingi sana huko vijijini. Tumeshapoteza mjukuu kagongwa na bodaboda akicheza, tumepoteza mfanyabiashara mdogo anatoka kufungasha bidhaa za kiduka chake, bodaboda zinagongana na kugonga. Watu hawana ujuzi wa barabara kabisa lakini wanaendesha barabarani sawa na magari.Bodaboda ni ajira, acha kuwaonea wivu.
Hao ndiyo mtaji wa viongozi wetu, hukumbuki pikipiki zenye mchanganyiko wa rangi za timu ya mpira maarufuWazungu wana msemo wao usemao adui yako mkabidhi pikipiki.