Serikali inawatafuta wakenya 50 waliotoroka karantini

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Polisi wanawatafuta watu 50 waliotoroka katika kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika kama karantini

Inadaiwa kuwa walikuwa wanapata chakula cha jioni, na mvua ilikuwa inanyesha nao wakatumia fursa hiyo kuruka uzio na kukimbia

Wengine kati ya hao waliotoroka walikuwa wanasubiri majibu ya vipimo vyao kama wana #CoronaVirus, huku walikuwa katika uangalizi kama wangeonyesha dalili yoyote ya kuwa na virusi hivyo

Hadi hivi sasa Kenya ina jumla ya visa 296 vya #Covid19. Huku watu 92 wakiwa wamekamatwa na watawekwa karantini kilazima baada ya kukiuka sheria ya kuachia mita moja

===

Police are searching for 50 people who are said to have escaped from the Kenya Medical Training College (KMTC) in Nairobi where they in quarantine.

Citizen TV established that they were having their evening meal when it started to rain and they saw security officers guarding the premises take cover.
They reportedly took advantage of the situation and jumped out through the fence.

There are fears that they could pose a risk to other Kenyans following the government’s directive that anyone who may have been exposed to COVID-19 be isolated for 14 days.

They were to remain at KMTC under observation for health officials to monitor if any symptoms developed.

Reports indicate that some of them were still waiting for their COVID-19 test results after samples were taken to the lab.
On Tuesday, Health CAS Mercy Mwangangi affirmed that they had received reports of the escape.

“The Ministry of Interior is following up on the KMTC issue and we will be able to update once investigations are undertaken,” she said.
So far, Kenya has 296 coronavirus cases with most of the patients reported to be from Nairobi.


Meanwhile in Uasin Gishu County, 92 people were arrested for not adhering to social distancing guidelines and will now be forced into mandatory quarantine.

They also risk being charged with contravening the new regulations that require one to maintain a physical distance of not less than a metre from the next person when in a public area.

“A person who commits an offense under these rules shall, on conviction, be liable to a fine not exceeding Ksh. 20,000 or imprisonment for a period not exceeding six months or both,” the Kenya Gazette Supplement No 41 reads.

Last week, CAS Mwangangi warned that those found outside their houses during the curfew period will be assumed to have been in contact with suspected coronavirus patients and will be placed in mandatory quarantine.

Your browser is not able to display this video.
 
kwani kinachowakimbiza huko ni nini? unajua wanawatia watu wasiwasi ya kuwa kuna kitu ambacho si cha kawaida.....!!! MTU unapewa huduma tena ya Afya yako unakimbiaje.....??? Hata kama ingekuwa unachomwa sindano ya Ng'ombe bado inabidi uvumilie....unakimbia ili iweje.....? Au kuna mini huko......!!!!!???? jamani kinachowakimbiza
 
Wengi wa
Wengi wa waliotoroka ni wale walikamatwa na askari wakivunja sheria ya kurandaranda nje wakati wa curfew. Huku ukipatika nje jua tuu wee ni mshukiwa wa kirusi. Unapelekwa karantini kwa gharama zako halafu unatokea mahakamani. Umejua ni kwa nini walikuwa wanatoroka sasa!..
 
wamenikumbusha sekondariii zile za boys/girls tupu..mabaharia walikuwa wakitoroka usiku kwenda tafuta papuchi. mafuta ya taa yalikuwa hayawezi tuliza mzuqaaaa
 
aisee jipe moyo!
 
Peleka upumbavu huko, kwani video haioneshi wanaotoroka wamebeba mabegi? So directly walikuwa traveller na sio hii pumba unaotaka kuiaminisha
 
Peleka upumbavu huko, kwani video haioneshi wanaotoroka wamebeba mabegi? So directly walikuwa traveller na sio hii pumba unaotaka kuiaminisha
Upumbavu ni kujifanya mjuaji na haujui chochote. Kwani wasafari ndio huwa na begi pekee yake?.. Halafu wote hawajakuwa na mabegi vile unavyodai
 

Hizi sheria za kupeleka watu karantini kisa wamekiuka curfew naona zina ukakasi, hata mimi wakithubutu nitaparamia ukuta na kutoroka, hapa rais Uhuru amebugi, watu wapelekwe jela wakafunguliwe mashtaka na kutoka kwa dhamana, nimeona msanii Eko Dydda amewekwa karantini kisa alichelewa nje kidogo gari lilipomsumbua.
Halafu wale wanahoji mabegi, of course ukilazimishwa kuingia karantini lazima mkeo akuletee begi la nguo.

Hehehe!! Jana nusra nichelewe mjini, yaani ingetokea lazima ningelala kwenye hoteli sehemu, siwezi nikajiachia barabarani nje ya muda wa curfew, jamaa wana upumbavu fulani hivi.
 
wamenikumbusha sekondariii zile za boys/girls tupu..mabaharia walikuwa wakitoroka usiku kwenda tafuta papuchi. mafuta ya taa yalikuwa hayawezi tuliza mzuqaaaa
Wewe lazima ulikuwa mmoja wao
 
Isitoshe hata ukienda kwa mishe zako ukitarajia kufanya manunuzi ya bidhaa ni lazima ubebane begi, si lazima uwe msafiri. Halafu hilo la karantini ukifikifiria vile mmerundikana mle na wale ambao huenda wako na kirusi ni lazima hamu ya kusepa ikamuingia muathiriwa.
 
Unakamatwa ukiwa hauna corona halafu unaenda kupata corona quarantine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unakamatwa ukiwa hauna corona halafu unaenda kupata corona quarantine [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa maana yake hauna habari kuhusu hali ya afya ya wale mnatupwa nao mle karantini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…