hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Serikali inapo amua kufanya jambo na watendaji wanapo timiza majukumu yao hakuna kinacho shindikana.hatua ambazo serikali inapaswa kuzichukia kuwalinda wananchi na matukio ya taasisi/ vikundi vya kukopesha namna ya kujiepusha(mikopo ya mitandao)
1:ni muhimu serikali kutoa elimu kwa watu waache kukopa kama hakuna ulazima wa kukopa: serikali iwakumbushe wanachi mara Kwa mara kama hakuna ulazima usikope fedha za mitandao watumie redio na magazeti kuwakumbusha watu kuhusu hilo.
2.serikali itoe elimu ya hasara za mikopo y mitandao.watu wengi wana elimu ndogo hasa za hasara za mikopo n wajibu wao serikali kuwakumbusha watu walio mashuhuri au wenye kutamani kukopa wahitajipo fedha.
3.iwepo sheria ya kuwatambua hao wakopeshaji:hakuna sheria za wazi zinazo watambua hawa watu wa mitandao kuwa wanaishiji katika ukopeshaji wao kiupana zaidi.
4.uwepo uwazi wa riba rafiki Kwa mkopeshwaji.ziwepo riba ZeNye kumfanya mkopaji aweze kuzielewa pia ziwe ni rafiki kuendana na ukopaji wake wake mkopaji ni vizuri seriKali wakahusika katika kupangana nao.
5.vikundi visajiliwe na taasisi ya fedha:ni vizuri vikundi hivi vya fedha mitandaoni vikapata usajili wa serikali ili kuweka wepesi hata ikitokea vimevujisha Siri za mkopaji mahali pasipo stahili iwe rahisi nao kuwashitaki mahakamani
6.ziwepo sheria za wazi Kwa mkopeshwaji ZeNye maelezo: zitungwe sheria zitakazo simamia ukopaji kwenye hivi vikundi kuendana na hali zao ili waweze kutambulika na kulindwa na sheria hizi kuondoa mianya ya matatizo unapofika muda wa mdaiji kudai
7:kikundi kisicho sajiliwa chini ya taasisi ya fedha kisiwe na haki ya ukopeshaji: kama kikundi kita kosa sifa ya kusajiliwa chini ya wizara ya fedha Hadi mitandaoni huko hiko kiondolewe sifa na kitolewe na kuwajibishwa ili kumlindaji mkopaji atakae hitaji kukopa kwenye hiko kikundi.
8.taarifa za mkopaji zibaki ni Siri kati ya mkopeshaji na mkopeshwaji:hpa ni vizuri sheria kabambe ikawepo ili kuondoa mambo ya taarifa za mkopaji kuvuja vuja kwa watu wasio husika na deni hilo ili kuondoa dhana ya kufikiwa taarifa watu wasio husika kabisa.
9.mkopaji apew muda stahiki akopapo kwenye vikundi :ni vizuri uwepo muda rafiki Kwa mkopeshwaji n mkopaji ili kulinda haki za kila mmoja Kwa maslahi yake
10.serikali itoe sapoti Kwa mkopaji pamoja na mkopeshwajikwenye vikundi vya mitandaoni hasa panako tokea Sinto fahamu baina ya mkopaji na mkopeshwaji wa fedha hizo:serikali ikiwa katika umakini wa uangalizi vitu vidogo vya hovyo mfno riba kubwa na mengineyo hayatokuwepo mara Kwa mara na hiyo itaongeza tija Kwa taifa taasisi mkopaji Kwa wkati mmoja

Upvote
0