Serikali inasapoti wote.serikali itoe sapoti Kwa mkopaji pamoja na mkopeshwajikwenye vikundi vya mitandaoni hasa panako tokea Sinto fahamu baina ya mkopaji na mkopeshwaji wa fedha hizo:serikali ikiwa katika umakini wa uangalizi vitu vidogo vya hovyo mfno riba kubwa na mengineyo hayatokuwepo mara Kwa mara na hiyo itaongeza tija Kwa taifa taasisi mkopaji Kwa wkati mmoja
Hapa no ngumu maana uchumi unaendeahwa na mikopo. Mikopo ni kichocheo cha kukuza uchumi.muhimu serikali kutoa elimu kwa watu waache kukopa kama hakuna ulazima wa kukopa: serikali iwakumbushe wanachi mara Kwa mara kama hakuna ulazima usikope fedha za mitandao watumie redio na magazeti kuwakumbusha watu kuhusu hilo.
Waulizwe kwanza je walisaini mikataba yenye riba tofauti na walizokumbana nazo? Na kama kuna mmoja amevunja sheria, labda riba ilozidi kiwango au kutolipa pesa ya rejesho awajibishweKama n hivyo Kwa hiyo walalamikaji wa riba kubwa za mikopo wasisikilizwe
AhaaWaulizwe kwanza je walisaini mikataba yenye riba tofauti na walizokumbana nazo? Na kama kuna mmoja amevunja sheria, labda riba ilozidi kiwango au kutolipa pesa ya rejesho awajibishwe