[emoji28][emoji28][emoji28]Wameshindwa tu kwenye mitandao ya kijamii hususani JF.
ChawaMkuu unakimbizwa?
Duh njaa italiuza taifa mara ya pilikuna clip ilivuja online tv wanaambiwa waweke namba zao wataingiziwa pesa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani ana jipya?Yaani mawaziri wananunua vyombo vya habari kwa kodi za walalahoi?
Waliopitwa na wakatiHivi kuna watu wanasoma na kufatilia magazeti bado
Ova
Ndio ila ya bajeti hatufuatiliiHivi kuna watu wanasoma na kufatilia magazeti bado
Ova