Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye mitandao ya kijamii zipo blog za kishenzi hata hazifai kuzisoma ni propaganda tupu zinaandikaNi vizuri ungeweka kabisa kapicha ka kuonyesha content za kufanana kwenye hayo magazeti hapa.
Yote kwa yote, Samia na Chawa wake wameiga mtindo ule ule wa Magufuli kuvifanya vyombo vya habari visiwe huru, Magufuli alikuwa anatumia nguvu ya moja kwa moja (vitisho vya kupotezwa) na Samia anatumia nguvu ya nyuma ya pazia (hongo na misamaha ya kodi).
Wameshindwa tu kwenye mitandao ya kijamii hususani JF.