Hiyo ni NIMONIA KALIWatu wanakufa mfululizo
Kwani Katiba imeanza kusiginwa leo ?Je katiba ni ya kazi gani sasa kama haina msaada kwenye uhitaji wa namna hii?
Kama kuna kitu Ccm walikosea ni kutuchagulia mtawala Badala ya kiongozi KICHAA.Je, Katiba ni ya kazi gani sasa kama haina msaada kwenye uhitaji wa namna hii?
Kenya wanachanja Raia wao ,unao utambulisho wa uraia wa Kenya? Kwani kama mtu unaona huna cha kusema ukinyamaza pia ni busara si ujingaMwili ni wako, amekupa Mungu.
Usisubiri uambiwe ndio ukapate Chanjo.
Chanjo zipo Kenya hapo ama Uganda
Mahakama itumiwe kutafsiri hivi vifungu. Watu jasri kama Mtikila walijihidi sana kutimiza wajibu wao kwa njia ya mahakamaWanabodi poleni kwa majukumu ya kufukuzana na shilingi inayopepea.
Ibara ya 14 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kisasema 'Kila mtu anayo Haki ya kuishi na kupata kutoka katika jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria' mwisho wa kunukuu.
Dunia sasa hivi inapitia wakati mgumu sana kutokana na janga la mlipuko wa maambukizi ya COVID-19 ambayo yaligunduliwa awali katika jimbo la Wuhan nhini China. Nchi zote duniani ni wahanga wa hili janga ambalo limesababisha madhara makubwa kwa uhai wa binadamu kwa kipindi kifupi sana.
Wimbi la kwanza la mlipuko huu tulishuhudia athari kubwa za huu ugonjwa ambapo sisi kama taifa tulipoteza wapendwa wetu wengi sana. na sasa wimbi la pili limekuja huku kukiwa na juhudi zilizozaa chanjo ambayo inaweza kuwa ni mwarobaini wa janga hili.
Kwa kuzingatia Ibara ya 14 ya katiba yetu,
Naandika kwa ufupi sana kwa sababu nina huzuni kubwa kuona watu niliowafahamu wamefariki mfululizo ndani ya wiki mbili kwa maradhi yanayofanania na CORONA. serikali isichukulie kwamba tunavyoiunga mkono kwenye sanduku la kura, siyo tiketi ya kujifanyia mambo yake inavyotaka. lazima ilinde Katiba na kuitekeleza kwa nguvu zote bila hiyari wala kuchuja ibara za Katiba yetu.
- Je serikali yetu imetimiza wajibu wake kutuhakikishia haki ya kuishi?
- Watanzania wengi tumehamasishwa kutumia njia za asili kujikinga na kutibu dalili zake, je wale wachache wanaohitaji chanjo wamezingatiwa haki yao ya kuishi?
- serikali kupitia Rais kukanusha uwepo wa CORONA nchini kumezingatia haki ya Ibara ya 18 (d) "Kila mtu anayo Haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia kuhusu masuala muhimu kwa jamii" mwisho wa kunukuu. Hali hii ya watu wengi wanaokufa na hata huko hospitalini kujaa wagonjwa wenye shida ya kupumua ambapo wengi huishia kupoteza uhai wao, je serikali imezingatia haki ya kuishi kwa watu wake?
Wanasheria mpo na mmekaa kimya kwenye hili hivyo historia itatuhukumu wote bila kubagua yaani sisi ytuliopiga kura kishabiki na nyie wenye uwezo wa kuchukua hatua za kikatiba na sheria lakini mkakaa kimya.
Serikali zingatieni haki ya kila Mtanzania hasa Haki ya kuishi kwa kutoa taarifa (zisizo za taharuki) sahihi kuhusiana na hii hali inayoendelea. pia izingatie haki ya wanaopenda kupata chanjo ya Corona wapatiwe na sisi wenye nyungulization tuendeleze libeneke bila bughudha.
Uzi
Nani kakwambia wanachanja raia wao tuKenya wanachanja Raia wao ,unao utambulisho wa uraia wa Kenya? Kwani kama mtu unaona huna cha kusema ukinyamaza pia ni busara si ujinga
Kwani nyimbo na pambio za mi5 ,imeshakuwa chungu mara hii,hao walikuwa sii wakusikia wala kuelewa,hivi sasa wengine wanazirudia change zilizowatoka a.k.a matapishi yao.Akili zitawarejea sawa wote wale wa kubeza na kusifu .Wanabodi poleni kwa majukumu ya kufukuzana na shilingi inayopepea.
Ibara ya 14 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kisasema 'Kila mtu anayo Haki ya kuishi na kupata kutoka katika jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria' mwisho wa kunukuu.
Dunia sasa hivi inapitia wakati mgumu sana kutokana na janga la mlipuko wa maambukizi ya COVID-19 ambayo yaligunduliwa awali katika jimbo la Wuhan nhini China. Nchi zote duniani ni wahanga wa hili janga ambalo limesababisha madhara makubwa kwa uhai wa binadamu kwa kipindi kifupi sana.
Wimbi la kwanza la mlipuko huu tulishuhudia athari kubwa za huu ugonjwa ambapo sisi kama taifa tulipoteza wapendwa wetu wengi sana. na sasa wimbi la pili limekuja huku kukiwa na juhudi zilizozaa chanjo ambayo inaweza kuwa ni mwarobaini wa janga hili.
Kwa kuzingatia Ibara ya 14 ya katiba yetu,
Naandika kwa ufupi sana kwa sababu nina huzuni kubwa kuona watu niliowafahamu wamefariki mfululizo ndani ya wiki mbili kwa maradhi yanayofanania na CORONA. serikali isichukulie kwamba tunavyoiunga mkono kwenye sanduku la kura, siyo tiketi ya kujifanyia mambo yake inavyotaka. lazima ilinde Katiba na kuitekeleza kwa nguvu zote bila hiyari wala kuchuja ibara za Katiba yetu.
- Je serikali yetu imetimiza wajibu wake kutuhakikishia haki ya kuishi?
- Watanzania wengi tumehamasishwa kutumia njia za asili kujikinga na kutibu dalili zake, je wale wachache wanaohitaji chanjo wamezingatiwa haki yao ya kuishi?
- serikali kupitia Rais kukanusha uwepo wa CORONA nchini kumezingatia haki ya Ibara ya 18 (d) "Kila mtu anayo Haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia kuhusu masuala muhimu kwa jamii" mwisho wa kunukuu. Hali hii ya watu wengi wanaokufa na hata huko hospitalini kujaa wagonjwa wenye shida ya kupumua ambapo wengi huishia kupoteza uhai wao, je serikali imezingatia haki ya kuishi kwa watu wake?
Wanasheria mpo na mmekaa kimya kwenye hili hivyo historia itatuhukumu wote bila kubagua yaani sisi ytuliopiga kura kishabiki na nyie wenye uwezo wa kuchukua hatua za kikatiba na sheria lakini mkakaa kimya.
Serikali zingatieni haki ya kila Mtanzania hasa Haki ya kuishi kwa kutoa taarifa (zisizo za taharuki) sahihi kuhusiana na hii hali inayoendelea. pia izingatie haki ya wanaopenda kupata chanjo ya Corona wapatiwe na sisi wenye nyungulization tuendeleze libeneke bila bughudha.
Uzi
Siyo Ndigana kali?Hiyo ni NIMONIA KALI
Kiujumla hoja yako haina mashiko.Kwani nyimbo na pambio za mi5 ,imeshakuwa chungu mara hii,hao walikuwa sii wakusikia wala kuelewa,hivi sasa wengine wanazirudia change zilizowatoka a.k.a matapishi yao.Akili zitawarejea sawa wote wale wa kubeza na kusifu .
Wewe umeeliwa nini hapaKiujumla hoja yako haina mashiko.
Hapa tunazungumzia KOONA na siyo nani alimpigia nani kura