kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
mkuu unapopga hesabu ya kupata tarajia kupata 98%
Asante sana, ila nashukuru babu yangu wakati namuhaga kuja kutafuta aliniambia, mjuu kuu wangu usicheze na pesa. Heshimu sana kile ulichotolea jasho, nacho kitakuheshimu na kitakufanya uwe sahihi siku zote katika maisha tako.
Baadhi ya Vijana wanapo elekea wakipata dhamana kuongoza Taifa ili wataliweka bond kwenye kamali. Nimegundua baadhi ya sisi vijana hatuna akili nzuri na pia tunadhani pesa ni kila kitu wakati sio kweli.