Serikali ingefanya Utafiti ingegundua watu wengi wanaweka salio kupitia nipige tafu na songesha

Pale Dodoma kuna kundi la kuangalia maslai yao tu
 
Sijawahi kuona mhehe mjinga nadhani wewe ndio wa kwanza umeshindwa hata kusoma hiyo sentensi yangu ndogo na kuielewa ?
Mjinga ni wewe na mumeo achana na mimi kalipe wewe na mume usinizoee propaganda peleka huko Lumumba buku 7
 
Mjinga ni wewe na mumeo achana na mimi kalipe wewe na mume usinizoee propaganda peleka huko Lumumba buku 7
Ningekujibu lakini naogopa usijekwenda kujinyonga kama kawaida yenu wahehe, kukaa kimya mara nyingine ni busara. Ninachokuomba uhame hili jukwaa sio size yako.
 
Baraza la sasa la mawaziri lipo kwenye mtego, wengi waliokuwa mawaziri kipindi cha mwendazake hawajui kuwa 'wanaangaliwa' kwa umakini kila wanachofanya. Mama anawatafutia sababu awang'oe vichwa ili wale wanyonge wasije kusema "ametuonea kwakua baba kaondoka."
Mawaziri kuweni makini, shoka la kula vichwa bado lipo kazini!
 
Ningekujibu lakini naogopa usijekwenda kujinyonga kama kawaida yenu wahehe, kukaa kimya mara nyingine ni busara. Ninachokuomba uhame hili jukwaa sio size yako.
Hama wewe hapa sio sehemu ya waganga wa kinyeji fala wewe
 
Tuwe wazalendo jamani tulipe kodi ili tusiwe wategemezi na tuweze kupatiwa maendeleo bora na hii itasaidia watu kuona nchi za wenzao ni bora kuliko kwao wakati hao anawasifia kila kinachofanyika kodi inakatwa na husikii wakilalamika.
Tulipe kodi ngapi?
 
Fanya kazi hakuna nchi duniani wafanyabiashara hawalipi kodi,EFD duniani kote zipo hatuwezi kujitenga na dunia halafu tuwe tunailaumu serikali haileti maendeleo .Tunachotakiwa ni kudai kuwa kodi zipunguzwe na itumike njia sahihi ya kudai hiyo kodi.
Uganda hawatumii EFD machine lakn the way wanavyoishi inashangaza, Tanzania kwa maendeleo tuko mbali mno.
 
Uganda hawatumii EFD machine lakn the way wanavyoishi inashangaza, Tanzania kwa maendeleo tuko mbali mno.
Hapa sio Uganda mkuu pia South Africa hawana EFD wanatuzi maendelea
 
Uganda hawatumii EFD machine lakn the way wanavyoishi inashangaza, Tanzania kwa maendeleo tuko mbali mno.
EFD ni ubabaishaji tu mimi huwa sioni cha maana labda kwa maduka ya wholesale
 
Kupunguza Kodi ni mwanzo wa makusanyo makubwa ya kodi, sema viongozi wetu hawajawahi hata kuuza maandazi hawajui ugumu uliopo.
 
Humo humo kwenye songesha na nipige tafu watapita nazo... acheni kazi iendelee😂🤸🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…