Serikali ingewazuia mashabiki wa Simba na Yanga kuingia uwanjani, sio timu

Serikali ingewazuia mashabiki wa Simba na Yanga kuingia uwanjani, sio timu

Retizinga

Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
89
Reaction score
71
jambo ambalo binafsi nashindwa ielewa serikali ni hii hatua ya kuvipga marufuku Simba na Yanga tumia Uwanja wa Taifa kwann kama ni uharbifu wa viti club husika kupitia washabiki wake ipgwe fain then wa warekebishe tatizo la viti, wakisha rekebisha na kulipa faini waendelee tumia uwanja?
 
Back
Top Bottom