Retizinga
Member
- Aug 7, 2016
- 89
- 71
jambo ambalo binafsi nashindwa ielewa serikali ni hii hatua ya kuvipga marufuku Simba na Yanga tumia Uwanja wa Taifa kwann kama ni uharbifu wa viti club husika kupitia washabiki wake ipgwe fain then wa warekebishe tatizo la viti, wakisha rekebisha na kulipa faini waendelee tumia uwanja?