Serikali ingilieni kati, Yanga inaangamiza taifa

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,194
Reaction score
7,602
Mashabiki na wapenzi wengi wa Yanga watapata kisukari kwa utamu wanaoupata kutoka Yanga....hili ni tatizo lidhibitiwe.

Lakini pia wale wa upande wa pili Wana kila dalili ya matatizo ya afya ya akili pamoja na makasiriko. Kwa Yanga hii Sasa tunakuwa na taifa la wagonjwa na tatizo ni hii YANGA.

Uzi tayari.
 
Ngoja vijana wa Rage waje wakutukane. Leo jioni wataingia tena dimbani kucheza lile pira lao papatu papatu na ndugu zao wa Coastal.
Ngoja vijana wa Rage waje wakutukane. Leo jioni wataingia tena dimbani kucheza lile pira lao papatu papatu na ndugu zao wa Coastal.
Pira kukuru kakara.
 
Naunga mkono hoja
 
Mnajiona wenyewe

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaaaaaaaaaa..... konyo sana weye muzeye.
 
Ngoja vijana wa Rage waje wakutukane. Leo jioni wataingia tena dimbani kucheza lile pira lao papatu papatu na ndugu zao wa Coastal.

Wanaliitaga pira biriani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila wakituombea baya halitukuti, juz kati kuna jamaa wa simba alikuwa anasema kwamba wao wakiwa na washabik wa Yanga wanasema yanga mbovu ila wakibaki wao kama wao wanaikubali vibaya mno…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…