Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
- Thread starter
-
- #21
Tunasubiri waraka na muongozo wa wizara ya afya ni wapi na kwa namna gani mashabiki wa simba watakavyopewa matibabu bila kuziathiri raha za wanayanga.Kweli utopolo ni kiwanda cha kuharibu akil,wakili msomi naye anayumba
Hahaha...kwa yanga hii usipoikubali hadharani basi utaikubali ndotoni.Wanaliitaga pira biriani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila wakituombea baya halitukuti, juz kati kuna jamaa wa simba alikuwa anasema kwamba wao wakiwa na washabik wa Yanga wanasema yanga mbovu ila wakibaki wao kama wao wanaikubali vibaya mno…
Baada tu ya match ya leo wanamfungashia Robertihyo virago😂Ngoja vijana wa Rage waje wakutukane. Leo jioni wataingia tena dimbani kucheza lile pira lao papatu papatu na ndugu zao wa Coastal.
Tulia mwamposa...serkali lazima itulinde dhidi ya raha na utamu uliopitiliza. Mnataka tufe na utamu muanze kusema tuliwakimbia.Endeleeni KUROPOKA na UTOTO WENU.
Hivi unajua Maneno Huwa yanaumba!!!!
Unajua Madhara ya Ugonjwa WA kisukari na Garama za Matibabu yake!!!!!!!!!!!!!!
Unajua Magumu wanayo yapitia.
ENDELEA KULINGANISHA MPIRA NA MAGONJWA KAMA SUKARI.
WENYE AKILI TIMAMU NI WAWILI TU
Hahaa..Leo coastal asipoficha white anasepa na MTU.Baada tu ya match ya leo wanamfungashia Robertihyo virago😂
Makolo upande wenu pumb* zinawauma kwa kukabia chini ili tufungwe. Nendeni hosipitali mpate matibabu. Yanga ni kama upepo wa LUKUGA haikandiwi.Watu wa pira Gamondi kama jana ungewakagua ungekuta wana vikimba (vimavi) vidogo kama vya mbuzi kwenye kyupi zao, sema bahati ikawa kwao wakajikwamua dk ya 80 na ushee huko.
niliamini kuwa mpira ni shetani baada ya bodaboda mmoja juzi kugongwa vibaya akishabikia mpira. wanasababisha vifo vingi sana hawa yanga.Mashabiki na wapenzi wengi wa yanga watapata kisukari kwa utamu wanaoupata kutoka yanga....hili ni tatizo lidhibitiwe.
Lakini pia wale wa upande wa pili Wana kila dalili ya matatizo ya afya ya akili pamoja na makasiriko. Kwa yanga hii Sasa tunakuwa na taifa la wagonjwa na tatizo ni hii YANGA.
Uzi tayari.
wanaikubali kimya kimyaWanaliitaga pira biriani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila wakituombea baya halitukuti, juz kati kuna jamaa wa simba alikuwa anasema kwamba wao wakiwa na washabik wa Yanga wanasema yanga mbovu ila wakibaki wao kama wao wanaikubali vibaya mno…
Pole yake.niliamini kuwa mpira ni shetani baada ya bodaboda mmoja juzi kugongwa vibaya akishabikia mpira. wanasababisha vifo vingi sana hawa yanga.
Nina Sukari wakuu,yanga tamu
Pole, ngoja nikutumie namba ya daktari upate vipimo, ila aanze na cha akiliMashabiki na wapenzi wengi wa yanga watapata kisukari kwa utamu wanaoupata kutoka yanga....hili ni tatizo lidhibitiwe.
Ngoja vijana wa Rage waje wakutukane. Leo jioni wataingia tena dimbani kucheza lile pira lao papatu papatu na ndugu zao wa Coastal.
Jana ilikuwa kivumbi
Wakubwa nusu wajambe
🤣🤣🤣
Ukute na daktari nae kaumwa utamu. Jamani yanga itaondoka na wengi.Pole, ngoja nikutumie namba ya daktari upate vipimo, ila aanze na cha akili
😃 pira papatu papatu ni noma! Kuna wakati hata wachezaji wenyewe huwa hawaelewi goli limeingiaje!!Papatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa....kama kawaida wafuasi wa timu ileee ya papatu papatu.Ungejua shida , tabu, mateso wanayoyapitia wagonjwa WA Kisukari usingethubutu kuleta Pumba zako hapa.
Jitahidi UTOTO Ukipitiliza Inakuwa ni TATIZO .
UNAWEZA UKAJIKUTA UNAKUWA CHIZI SOKA.