Serikali ingilieni kati, Yanga inaangamiza taifa

kusema kweli imeleta kizaa zaa sana miezi hii 3...
 
Ngoja vijana wa Rage waje wakutukane. Leo jioni wataingia tena dimbani kucheza lile pira lao papatu papatu na ndugu zao wa Coastal.
Na tumeshindaa, Baleke katoka na hat trick.
Wape salamu Musonda na Mzinze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na tumeshindaa, Baleke katoka na hat trick.
Wape salamu Musonda na Mzinze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzako wamenuna, wewe unapata kabisa ujasiri wa kufurahia ushindi wa mchongo! Yaani mpaka timu iwe pungufu ndiyo ushindi unapatikana kwa urahisi.

Kinyume na hapo, ni papatu papatu tu mwanzo mwisho.
 
Wenzako wamenuna, wewe unapata kabisa ujasiri wa kufurahia ushindi wa mchongo! Yaani mpaka timu iwe pungufu ndiyo ushindi unapatikana kwa urahisi.

Kinyume na hapo, ni papatu papatu tu mwanzo mwisho.
Wakati yule anatoka ubao ulikua unasoma ngapiii?
Hebu nijuzee??

Ila nyie had offside ndo iwe goal huonii? Teseka taratibuu. Poleeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…