kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Pamoja na matumizi ya kidigitali serikalini na kufutwa kwa analojia ni aibu Kwamba bado system za serikali hazitendi haki na zinaruhusu dhulma,rushwa na kupendeleana.
Serikalini kunawatu wameajiriwa miaka ya karibuni lkn wamehonga na kupewa madaraja wasiyostahili.
Mfano unakuta mwalimu kamfundisha mwanafumzi miaka kumi iliyopita LAKINI Leo wote ni walimu na anamzidi yule mwanafumzi wake daraja moja tuu!!? Na kielimu wako sawa.
Kwa mfano huu haki ikowapi? Imewahi tokea Mtu anamzidi mwalimu wake mshahara nawote wanaelimu sawa!!
Hii inafanya watu kuchukia serikali yao na kuombea waanguke hata kwenye uchaguzi labda serikali nyingine inaweza ikawa sikivu!
Viongozi kuvaa masuti LAKINI utendaji ziro nijambo linapaswa kupingwa vita kwanguvu zote.
Haki huliinua taifa