comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia kwa kutaifisha au kuvunja mikataba.
Kama mikataba iliiingiwa kimakosa tubanane na wahusika hapa ndani ila hadhi yetu isichafuke huko nje
Kama mikataba iliiingiwa kimakosa tubanane na wahusika hapa ndani ila hadhi yetu isichafuke huko nje