Lissu alisema akaonekana kibaraka kwa wajinga waliokuwa brainwashed na Magu na sisiemu lakeShida sio mikataba kuingiwa kimakosa ila shida ni jinsi tunavyovunja. Mfano ni kweli Acacia walikua wanatuibia madini maana walikua hawafanyi declaration ya kuwemo dhahabu au madini mengine kwenye "makinikia".
Lakini.... ukisema uvunje mkataba tu au kukamata makontena kesi inabadilka kutoka wizi wa makinikia hadi "expropriation "!!
So suluhisho ilikua ni kuvunja mikataba kwa kufuata kanuni zile zile wakati tunaingia kwa mikataba hiyo. Sio kutafuta shortcut ilihali ushahidi upo.
Shida sio mikataba kuingiwa kimakosa ila shida ni jinsi tunavyovunja. Mfano ni kweli Acacia walikua wanatuibia madini maana walikua hawafanyi declaration ya kuwemo dhahabu au madini mengine kwenye "makinikia".
Lakini.... ukisema uvunje mkataba tu au kukamata makontena kesi inabadilka kutoka wizi wa makinikia hadi "expropriation "!!
So suluhisho ilikua ni kuvunja mikataba kwa kufuata kanuni zile zile wakati tunaingia kwa mikataba hiyo. Sio kutafuta shortcut ilihali ushahidi upo.
Kwani shida ni mikataba mibovu au jinsi tunavyovunja? Mfano Kwani tulishindwa nini kufungua kesi ICSID kuonyesha tunaibiwa dhahabu iliyopo ndani ya makinikia? Sasa badala ya ku act smart tunakurupuka kukamata makontena sijui kufunga mgodi hiyo inaharibu kesi.Kwamba mikataba ya kipuuzi iliyoingiwa kwa rushwa na ubinafsi wa watu wachache sio shida?
Root cause ya hizo fidia na mikesi yote ni nini kama sio hiyo mikataba ya hovyo.
Labda ungesema (tulishakosea nyuma kama taifa kuingia mikataba ya kimangungo, hatuna budi kuwa wapole kuendana na hali halisi, cha kuzingatia madhara yasiwe makubwa kwa taifa) ila kamwe usiseme shida sio mikataba kuingiwa kinajisi.
ingekua sio shida wala hamna mtu angeandika habari za mikataba wala fidia.
Mchafu hachafuliwi mara 2.Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia kwa kutaifisha au kuvunja mikataba. Kama mikataba iliiingiwa kimakosa tubanane na wahusika hapa ndani ila hadhi yetu isichafuke huko nje
Tanzania aina ya mikataba yake ni ile tuliyoiona ya DP WORLD, no exit clause hivyo njia pekee ya kuvunja mkataba ni kutumia ubabe bora ulipe fidia.Shida sio mikataba kuingiwa kimakosa ila shida ni jinsi tunavyovunja. Mfano ni kweli Acacia walikua wanatuibia madini maana walikua hawafanyi declaration ya kuwemo dhahabu au madini mengine kwenye "makinikia".
Lakini.... ukisema uvunje mkataba tu au kukamata makontena kesi inabadilka kutoka wizi wa makinikia hadi "expropriation "!!
So suluhisho ilikua ni kuvunja mikataba kwa kufuata kanuni zile zile wakati tunaingia kwa mikataba hiyo. Sio kutafuta shortcut ilihali ushahidi upo.
Mbona Acacia hawajatushitaki na walilipa fedha kiasi fulani? Tuna ujinga wa kufikiri wazungu hata wakikiuka vipengele bado sisi tuna makosa na ardhi ni yetu wenyewe!Shida sio mikataba kuingiwa kimakosa ila shida ni jinsi tunavyovunja. Mfano ni kweli Acacia walikua wanatuibia madini maana walikua hawafanyi declaration ya kuwemo dhahabu au madini mengine kwenye "makinikia".
Lakini.... ukisema uvunje mkataba tu au kukamata makontena kesi inabadilka kutoka wizi wa makinikia hadi "expropriation "!!
So suluhisho ilikua ni kuvunja mikataba kwa kufuata kanuni zile zile wakati tunaingia kwa mikataba hiyo. Sio kutafuta shortcut ilihali ushahidi upo.
EtwegeNimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia kwa kutaifisha au kuvunja mikataba.
Kama mikataba iliiingiwa kimakosa tubanane na wahusika hapa ndani ila hadhi yetu isichafuke huko nje
Walishtaki mkuu ila moja ya makubaliano baada ya mazungumzo ni wao kuondoa kesi mahakamani na sisi tuondoe madai ya yale matrilion. Ndio maana tukapewa tu kishika uchumba basi.Acacia hawajatushitaki na walilipa fedha kiasi fulani?
Sasa wakikiuka sheria si na sisi tufungue kesi ya madai na tuvunje mkataba kisheria? Yaani mtu mna ushahidi kakwepa kodi si umpeleke mahakamani why upeleke JWTZ kufunga mgodi? Unategemea hutoshtakiwa hata kama una haki?Tuna ujinga wa kufikiri wazungu hata wakikiuka vipengele bado sisi tuna makosa na ardhi ni yetu wenyewe
Yes alichangia pakubwa, tatizo ni jinsi ya kuivunja. Yeye alitumia mihemko kufuta leseni za wachimbaji bili kufuata taratibu. For example hao winshear Gold walifutiwa leseni baada ya sheria mpya ya madini kufanya kazi kwa kurudi nyuma??!! Ulitegemea wasishinde kesi? Mihemko ilitucost sana.eti tunasingizia jpm ndo alikuwa tatizo
Hakuna kitu kama hiki, yes sheria za madini ni za ndani ila zikikiukwa huwezi ukashtakia mahakama za humu ndani maana lazima zitapendelea. So mnachagua nchi moja au arbitrator mmoja ndio mtatumia ikitokea mmekwaruzana. Hata jpm alisema mahakama za ndani zitumike kusolve kesi za madini. Obvious alikuja kufuta hicho kipengele baada ya kuambiwa hakitekelezeki.Unaingiaje makubaliano kwa sheria za ndani halafu utumie sheria za nchi nyengine wakati wa migogoro na ukizingatia mali iko hapa?
Naunga mkono hoja.Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia kwa kutaifisha au kuvunja mikataba.
Kama mikataba iliiingiwa kimakosa tubanane na wahusika hapa ndani ila hadhi yetu isichafuke huko nje
Mbona ugomvi wako na MKEO/MMEO unaenda kwa mwenyekiti wa mtaa- hamna mji wenu?Mkataba wa DP World CCM waliamua kesi watazihamishia Mahakama za Afrika kusini, labda kiingereza cha huko watakuwa wanakiweza. Huko kwingine uliona wanaulizwa wanajikuna kuna na kusema " I was not feeling well this morning".
Mimi naamini hizi kesi ni deal za CCM, hata hukumu walipanga wao. CCM wezi sana, hawaaminiki. Wao wanatuambia kila siku "tuwe na imani na Rais Samia" lakini siyo ccm. Bilioni 75!? sio mchezo, ndio maana wanlia majukwaani.
Hakuna kesi hapo,kuna michongo ya wahuni kujipigia kodi kingeseNimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia kwa kutaifisha au kuvunja mikataba.
Kama mikataba iliiingiwa kimakosa tubanane na wahusika hapa ndani ila hadhi yetu isichafuke huko nje
Exactly. Tundu Lissu alitoa ushauri mujarab kabisa. Ila Dikteta akamshindilia risasi 16. Na Mungu kamuepusha Lissu na kifo ili aje kutusuta kwa kupuuza ushauri wake.Shida sio mikataba kuingiwa kimakosa ila shida ni jinsi tunavyovunja. Mfano ni kweli Acacia walikua wanatuibia madini maana walikua hawafanyi declaration ya kuwemo dhahabu au madini mengine kwenye "makinikia".
Lakini.... ukisema uvunje mkataba tu au kukamata makontena kesi inabadilka kutoka wizi wa makinikia hadi "expropriation "!!
So suluhisho ilikua ni kuvunja mikataba kwa kufuata kanuni zile zile wakati tunaingia kwa mikataba hiyo. Sio kutafuta shortcut ilihali ushahidi upo.
Unaibiwaje kwenye mkataba uliouingia mwenyewe kichwa kichwa.Tatizo linaanzia jinsi ulivyosaini mkataba.Tunaingia mikataba yakijinga ndo maana akija kiongozi mwingine anaona haifai anavunja.kwahiyo wote anayeingia kijinga na anayevunja kijinga wanamakosa.Kwani shida ni mikataba mibovu au jinsi tunavyovunja? Mfano Kwani tulishindwa nini kufungua kesi ICSID kuonyesha tunaibiwa dhahabu iliyopo ndani ya makinikia? Sasa badala ya ku act smart tunakurupuka kukamata makontena sijui kufunga mgodi hiyo inaharibu kesi.
Mbona Acacia hawajatushitaki na walilipa fedha kiasi fulani? Tuna ujinga wa kufikiri wazungu hata wakikiuka vipengele bado sisi tuna makosa na ardhi ni yetu wenyewe!
Madini yote yanayosafirishwa hayatusaidii kupandisha thamani ya uchumi wetu au fedha na kimataifa hayahesabiwi kwamba yanakuwa exported from Tanzania! Nchi ambayo yanaenda kuwa processed ndo inafaidika. Tumelala. Na sasa kuna kichochoro kingine eti tunasingizia jpm ndo alikuwa tatizo (siyo aliyeingia hii mikataba mibovu) Unaingiaje makubaliano kwa sheria za ndani halafu utumie sheria za nchi nyengine wakati wa migogoro na ukizingatia mali iko hapa?