Kumbe Topolo mwenzangu una akili hivi. Umeongea kitu kikubwa sana. Ila nikuhakikishe Serikali Sikivu Ya CCM inapenda tuendelee kuwa hivi hivi na mahangaiko. Kodi wanaondolewa wakina Mwamposa na Magenge mengine ya matapeli.