Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wajinga nyie UWT hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UWT wao wanachotaka ni kuiba mali za umma pekeeBadala ya kushauri TLS wapambane kuhakikisha tunapata Katiba Mpya ambayo ni bora unashauri upumbavu kiasi hiki.
Kweli wewe ni wasted sperm. Watu kama nyie ndo mnatakiwa kupotezwa maana mnachangia sasa jamii kudumaa kimaendeleo
Uchawi na wachawi hawapendi.maendele na mabdilikoNashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
KanjunjumeleNashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Naunga mkono hoja
Wazazi wako kama wapo hai ni muhimu sana wakazaa mtoto mwingine ili kufidia pengo lako.
Hata kama ni wazee kiasi gani, Sara alizaa akiwa bibi kabisa.
Huwezi kuwa na mtoto wa aina yako mwenye fikra kama zako na ukasema una mtoto. Wewe ni aibu kwa Jamiiforums na Taifa kwa ujumla.
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Inaelekea haujui chanzo na faida ya vyama vya wafanyakazi wenye taaluma, hivi ni tofauti na Tucta ambayo kila mwajiriwa anajiunga hata kama ni mfagizi.Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Imeesumeni sana Mwabukusi kushinda, kumbe ni kweli mpango wenu ulikuwa ni kuwawekea mawakili pandikizi lenu.Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Sasa mzilipe kwa hiyari, nakuhakikishia muda si mrefu T.L.S itashindwa kulipa mishahara, itabaki kama simba wa kwenye picha
Yote hii ni kwa sababu Mwabukusi ameshinda urais wa TLS?Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.
Badala yake, T.L.S iwashawishi watu wake wailipe kwa hiyari yao, badala ya kutegemea mgongo wa nguvu ya Mahakama kuzuia leseni za mawakili kwa kutolipa ada za T.L.S na kuhudhuria semina ili wapate points.
Pia Mwanasheria Mkuu apendekeze badiliko la sheria ambalo litaibakiza T.L.S katika majukumu ya kitaaluma tu, na kuwaondoa katika siasa. Hii itajumuisha kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao, ila kama anasajili mwanachama binafsi iwe sawa. Kwa sababu fedha ya chama isidhamini mambo ambayo si kila mwanachama anayakubali.
Too late , ungetoa hiyo idea 2015 but then umeshachelewa. Kumbuka hiko chama ni cha wanasheria si cha serikaliNashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana kila mtu.