Serikali iondoe sharti la kulipia leseni za TLS ili mtu apate haki ya kupata leseni ya uwakili (practising certificate) ili kuiua TLS kutokea ndani

Badala ya kushauri TLS wapambane kuhakikisha tunapata Katiba Mpya ambayo ni bora unashauri upumbavu kiasi hiki.

Kweli wewe ni wasted sperm. Watu kama nyie ndo mnatakiwa kupotezwa maana mnachangia sasa jamii kudumaa kimaendeleo
UWT wao wanachotaka ni kuiba mali za umma pekee
 
Uchawi na wachawi hawapendi.maendele na mabdiliko
 
Klwakati watu wanawaza kufikiria kwenda mbele.
Kuna mtu mwingine anawaza kwenda nyuma.
 
Kwamba Serikali iwaamulie wenye Chama Chao ? Hiki ni Chama cha wanachama nadhani wakiona hilo halifai wenyewe wanaweza kuliondoa (ni watu wenye akili timamu na uwezo wa kujiamulia kama kundi)
 
USIPENDE sana tendo landoa na sisi wanaume warefu wembamba ukijua K yako m-banano umechanwa kwamumeo chakusema huna

Usiku usisahau kumeza diclopa
 
Kanjunjumele
 
Unafahamu madhara ya "kuwaondolea wao kama chama mamlaka ya kusajili kesi yoyote kwa jina lao"?

Threads unazofungua kuhusu TLS zote unaandika ujinga ujinga. Sijui ni nani kakutuma mtu upo shallow kiasi hiki!
 
Naunga mkono hoja
 

Mnataka sasa kukimbilia sheria mpya itungwe na bunge la chama kimoja CCM lililopo Dodoma?
 
Inaelekea haujui chanzo na faida ya vyama vya wafanyakazi wenye taaluma, hivi ni tofauti na Tucta ambayo kila mwajiriwa anajiunga hata kama ni mfagizi.
 
Imeesumeni sana Mwabukusi kushinda, kumbe ni kweli mpango wenu ulikuwa ni kuwawekea mawakili pandikizi lenu.
 
Shida ya CCM huwa wanajiona Wana haki ya kutawala kila sehemu. Very stupid idiot.
 
Sasa mzilipe kwa hiyari, nakuhakikishia muda si mrefu T.L.S itashindwa kulipa mishahara, itabaki kama simba wa kwenye picha

..kuna shida gani ikiwa serikali itafanya kazi kwa kushirikiana na kusikilizana na TLS?

..kwa mfano, ni jambo gani limependekezwa na TLS ambalo unadhani ni baya, halifai, au linakiuka sheria za Tanzania?
 
Yote hii ni kwa sababu Mwabukusi ameshinda urais wa TLS?
Next time akishinda kada wa CCM murejeshe tena sheria kama ilivyokuwa mwanzo?
 
Too late , ungetoa hiyo idea 2015 but then umeshachelewa. Kumbuka hiko chama ni cha wanasheria si cha serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…