Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
OkKufanya umememe kama nishati kuua ni kutaka kuweka rehani ustawi wa familia.
Kwa Tanzania Bado umeme unaonekana na wauzaji kuwa ni anasa.
Swala lingine rahisi ni uwanja wa nishati safi inapaswa kutanuliwa, hata kuhususha mfumo rafiki wa biogas - ili kila mtu acheze kivyake.
Tuna malighafi nyingi ya biogas - maranda ya mbao, pumba ngumu za mpunga, majani, n.k
Wanaijeria wapo na harakati sana, mpaka mafunzo ya biogas kwa kulipia.
ok.🐒Jiko Janja(Induction Cooker) ni jiko linalotumia umeme kidogo na linaokoa sana matumizi ya nishati ya umeme, jiko hili ni nafuu kulitumia kuliko la gesi, kikwazo kipo kwenye bei ya sufuria mwalimu kwa jiko hili. Bei ya sufuria ni kubwa mno kuliko bei ya jiko wenyewe! Hivyo utakuta watu walinunua jiko bila kujua kisha wakakwama kwenye kununua sufuria!
Uzuri wa jiko hili gharama za matumizi ya umeme ziko chini kuliko matumizi ya gesi, ninajua kunaweza kuwepo ugumu kwenye kuondoa VAT kutokana na mgongano wa masilahi kati ya waagizaji wa majiko haya na wale wa gesi ya kupikia! Lakini kama kweli serikali inania njema ya kuondoka nishati chafu basi jiko janja linanafasi kubwa kutokana na kusambaa kwa mtandao wa umeme nchini kuliko gesi inayopatikana kwa watu wachache wa mijini.
Pia serikali ivishawishi viwanda vya hapa nchini vianzishe utengenezaji wa sufuria za majiko haya ziweze kupatikana kote nchini na kwa bei nafuu badala ya kutegemea Kenya.View attachment 3692371
!!!!!!!!!!!!!!! bora ungeandika tuko pamoja.ok.🐒
Ok.!!!!!!!!!!!!!!! bora ungeandika tuko pamoja.
Biogas hawataki kusikia na unaweza kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, wakati kampeni ya gesi inaanza niliandika humu " ni aibu kumuuzia mfugaji mtungi wa gesi wakati analo ghala la malighafi ya gesi".Kufanya umememe kama nishati kuua ni kutaka kuweka rehani ustawi wa familia.
Kwa Tanzania Bado umeme unaonekana na wauzaji kuwa ni anasa.
Swala lingine rahisi ni uwanja wa nishati safi inapaswa kutanuliwa, hata kuhususha mfumo rafiki wa biogas - ili kila mtu acheze kivyake.
Tuna malighafi nyingi ya biogas - maranda ya mbao, pumba ngumu za mpunga, majani, n.k
Wanaijeria wapo na harakati sana, mpaka mafunzo ya biogas kwa kulipia.
Bora ungekaa kimya.Ok.
we are together countryman 🤝
Nalitaka hili jiko mnaliuzaje na linapatikana wapi?Jiko Janja(Induction Cooker) ni jiko linalotumia umeme kidogo na linaokoa sana matumizi ya nishati ya umeme, jiko hili ni nafuu kulitumia kuliko la gesi, kikwazo kipo kwenye bei ya sufuria mwalimu kwa jiko hili. Bei ya sufuria ni kubwa mno kuliko bei ya jiko wenyewe! Hivyo utakuta watu walinunua jiko bila kujua kisha wakakwama kwenye kununua sufuria!
Uzuri wa jiko hili gharama za matumizi ya umeme ziko chini kuliko matumizi ya gesi, ninajua kunaweza kuwepo ugumu kwenye kuondoa VAT kutokana na mgongano wa masilahi kati ya waagizaji wa majiko haya na wale wa gesi ya kupikia! Lakini kama kweli serikali inania njema ya kuondoka nishati chafu basi jiko janja linanafasi kubwa kutokana na kusambaa kwa mtandao wa umeme nchini kuliko gesi inayopatikana kwa watu wachache wa mijini.
Pia serikali ivishawishi viwanda vya hapa nchini vianzishe utengenezaji wa sufuria za majiko haya ziweze kupatikana kote nchini na kwa bei nafuu badala ya kutegemea Kenya.View attachment 3692371
Mimi si muuzaji, Ingia Google jiko janja Tanzania, utawakuta wauzaji ila ujue bei ya sufuria ni kubwa kuliko bei ya jiko, na lazima utumie sufuria za chuma zinazoshika sumaku, bila hivyo halifanyi kazi.Nalitaka hili jiko mnaliuzaje na linapatikana wapi?
Ok asante kwa maelezo kuna mtu analihitaji nataka nimchukulie kama zawadi ya sufuria atapambana na hali yakeMimi si muuzaji, Ingia Google jiko janja Tanzania, utawakuta wauzaji ila ujue bei ya sufuria ni kubwa kuliko bei ya jiko, na lazima utumie sufuria za chuma zinazoshika sumaku, bila hivyo halifanyi kazi.
Mimi si muuzaji, Ingia Google jiko janja Tanzania, utawakuta wauzaji ila ujue bei ya sufuria ni kubwa kuliko bei ya jiko, na lazima nitumie sufuria za chuma zinazoshika sumaku, bila hivyo halifanyi kazi.Nalitaka hili jiko mnaliuzaje na linapatikana wapi?
Dakika 3 tu ugali umeiva japo haiwezekani Tanzania, ngoma inaanza kwenye umeme kukatikakatika mara umeme mdogo. Jiko hili kila chakula kuna kipimo cha dakika za kupika unaingiza, sasa umeme ulikatika sijui unaingiza dakika ngapi!Linapika ugali?
Kama zawahri mnunulie sufuria vinginevyo hatalitumia milele labda apigie disco.Ok asante kwa maelezo kuna mtu analihitaji nataka nimchukulie kama zawadi ya sufuria atapambana na hali yake
Ndo kitu apendacho sasa nimfanyeje mimiKama zawahri mnunulie sufuria vinginevyo hatalitumia milele labda apigie disco.View attachment 3692503
Sufuria ni aghari kuliko jiko, jama ana uwezo wa kununua sufuria sawa, vinginevyo jiko litaishia chumbani au!Ndo kitu apendacho sasa nimfanyeje mimi
Wapi mwenzetu, labda ya Tanesco kwa wanaounganishiwa umeme, hata hivyo mimi ninaishi karibu sana na ofisi ya Tanesco lakini sijawahi kuona hilo, hata Sabasaba nilitembelea banda lao walikua na bei ya dukani!Majiko ya indiction yana ruzuku. Nimenunua kadhaa mwaka huu
Wapi mwenzetu, labda ya Tanesco kwa wanaounganishiwa umeme, hata hivyo mimi ninaishi karibu sana na ofisi ya Tanesco lakini sijawahi kuona hilo, hata Sabasaba nilitembelea banda lao walikua na bei ya dukani!