Serikali iondoe VAT kwenye sufuria za Jiko Janja(Induction Cooker) ili bei kwa mwananchi ishuke.

Serikali iondoe VAT kwenye sufuria za Jiko Janja(Induction Cooker) ili bei kwa mwananchi ishuke.

Sio Tanzania mkuu Nchi ina bandari il truck kodi yake ipo juu wafanyabiashara wanahangaika na truck chakavu kisa kodi kubwa na huku mizigo imejaa bandarini inapelelea wazawa kusajiri magari Nchi jirani huko na zinakuja kupakia kwa sababu ya kodi kubwa.
 
Mimi nilinunua Sabasaba ofisi yao ipo Makumbusho, ila bei ya sufuria siyo rafiki kwa baadhi ya watu wenye kipata cha kawaida, inawezekana kwako ni rahisi.
 
Biogas hawataki kusikia na unaweza kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, wakati kampeni ya gesi inaanza niliandika humu " ni aibu kumuuzia mfugaji mtungi wa gesi wakati analo ghala la malighafi ya gesi".
Akili MTU wangu,
 
Back
Top Bottom