Ni binadamu wenzako wale ndugu yangu. Nao wanahangaika kutafuta chochote ili familia zao zipate chakula. Wana vitoto vinasoma.Hii nchi sijui ushamba tutaacha lini. Machinga wanalelewa Sana na zaidi ya kuharibu biashara za watu, wanachafua taswira ya mji.
Serikali waache uoga!
mkuuu hata ulaya kuna machinga na watu wanafanya biashara pembeni mwa barabara ustarabu unaoutaka ni upiSasa tukiendelea hivi miaka mitano itakuwaje?..yaani ni bora watu wastopishwe kwa sasa,hili la kufanya biashara hadi barabarani sio sawa kabisa kwa jamii iliyostaarabika.
Yule alivunja sheria Ili kupata kura na sio kuwasaidia watuWanyonge wa kipindi cha Mwendazake, na wakiguswa watatoa sababu mwendazake kafa ndio wananyanyaswa.
Pathetic foolHao watu ni wengi, na tayari maisha yao yapo hapo.
Inatakiwa kabla ya kuwaondoa watafutiwe eneo ambalo watapata wateja kama ilivyo maeneo waliyopo sasa. Kusema huruma haihitajiki kisa ni maendeleo ya nchi tutakuwa tunajaribu kufufua ukatili ambao tunajitahidi kuuzika.
Hao wana familia, kuwaondoa hapo ni sawa na kuanza kuwalaza njaa.
Hebu jaribu wewe ulale njaa kabla haujapendekeza mwenzako alale njaa. Tuache ukatili.
Walakini hayo maduka hayajazibwa na hivyo vibanda kiviile,, mtu akitaka kuingia dukani mbona anaingia tu??
Una roho ya ukatiliPathetic fool
Waza pia vibaka, majambazi, makahaba, majangili, mafisadi, wahamiaji haramu, wauza gongo, walima bangi, wauza madawa ya kulevya, walima mirungi na matapeli, wote hao ni wengi, wana ndugu wanaowategemea, hivyo nao waachwe kama wamachinga?Hao watu ni wengi, na tayari maisha yao yapo hapo.
Inatakiwa kabla ya kuwaondoa watafutiwe eneo ambalo watapata wateja kama ilivyo maeneo waliyopo sasa. Kusema huruma haihitajiki kisa ni maendeleo ya nchi tutakuwa tunajaribu kufufua ukatili ambao tunajitahidi kuuzika.
Hao wana familia, kuwaondoa hapo ni sawa na kuanza kuwalaza njaa.
Hebu jaribu wewe ulale njaa kabla haujapendekeza mwenzako alale njaa. Tuache ukatili.
Walakini hayo maduka hayajazibwa na hivyo vibanda kiviile,, mtu akitaka kuingia dukani mbona anaingia tu??
Riziki mbele ya duka la mwenzake?Muwaache wamachinga wafanye biashara nao wajipatie ridhiki.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sasa shida nini? Au ulitaka mbele ya nn? [emoji23][emoji23][emoji23]Riziki mbele ya duka la mwenzake?