ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kulisha family kisiwe kisingizio cha kuvunja sheria, watu wamewekeza pesa zao kwenye maduka wao wana panga mbele huo ustarabu wa wapiHao watu ni wengi, na tayari maisha yao yapo hapo.
Inatakiwa kabla ya kuwaondoa watafutiwe eneo ambalo watapata wateja kama ilivyo maeneo waliyopo sasa. Kusema huruma haihitajiki kisa ni maendeleo ya nchi tutakuwa tunajaribu kufufua ukatili ambao tunajitahidi kuuzika.
Hao wana familia, kuwaondoa hapo ni sawa na kuanza kuwalaza njaa.
Hebu jaribu wewe ulale njaa kabla haujapendekeza mwenzako alale njaa. Tuache ukatili.
Walakini hayo maduka hayajazibwa na hivyo vibanda kiviile,, mtu akitaka kuingia dukani mbona anaingia tu??
Hao watu ni wengi, na tayari maisha yao yapo hapo.
Inatakiwa kabla ya kuwaondoa watafutiwe eneo ambalo watapata wateja kama ilivyo maeneo waliyopo sasa. Kusema huruma haihitajiki kisa ni maendeleo ya nchi tutakuwa tunajaribu kufufua ukatili ambao tunajitahidi kuuzika.
Hao wana familia, kuwaondoa hapo ni sawa na kuanza kuwalaza njaa.
Hebu jaribu wewe ulale njaa kabla haujapendekeza mwenzako alale njaa. Tuache ukatili.
Walakini hayo maduka hayajazibwa na hivyo vibanda kiviile,, mtu akitaka kuingia dukani mbona anaingia tu??
Huo mi upuuzi sana hatuwezi kuwa nchi wa waachuuzi kila kona mji lazima kuwe na utaratibuhao ukiwagusa ni msala. . Mkurugenzi wa Jiji alijaribu kutikisa kidogo akawapa siku kadhaa waondoe vibanda vyao aisee akaitwa Ikulu fasta na kupigwa stop ndomana ile inshu ikaishia hewani
Ulaya ya wapi? au Morogoromkuuu hata ulaya kuna machinga na watu wanafanya biashara pembeni mwa barabara ustarabu unaoutaka ni upi
Wameondokaje mkuu?Waliokuwa mbele ya kituo Cha mabasi mbezi Luis wameondoka wenyewe ...saiv kumekuwa kweupe na kupendeza...miturubai na mimbaombao kwao kweli inaharibu taswira..bado na mlimani City ....ubungo mataa saiv Safi...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wenye maduka wote wafunge maduka wawe machingaDawa ya hili tatizo ni ndogo sana sana!! Wafanyabiashara wa maduka wangegoma kulipa kodi miezi mitatu tuuu serikali ingenyooka mbona!?? FFU wangeingia kazini fasta !!!
Ridhiki---ndo mdudu gani?Muwaache wamachinga wafanye biashara nao wajipatie ridhiki.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
HatariHawa machinga wanatutafutia ugomvi sisi wafanyabiashara wa maduka.
Kumbuka Wenye Fremu wanalipa Kodi TRA tutashindwa kulipa Kodi kwa style hii.
Serikali waliangalie hili Jambo kwa upana zaidi.
Hapa mteja anapita wapi kuja dukani wakati duka halionekani Kodi za pango ni zaidi ya milioni kwa mwezi tunapata shida Sana kufanya biashara.
View attachment 1798116