#COVID19 Serikali iongeze chanjo aina nyinginezo

#COVID19 Serikali iongeze chanjo aina nyinginezo

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Kwakuwa serikali imeamua kupambana na Covid -19 kwa chanjo, na kwakuwa zipo aina mbalimbali za chanjo ya CORONA,

Nakwakuwa pia wapo waliodhamiria kuipata chanjo hiyo basi ni vyema wakaongeza na aina nyinginezo, ili pengine mtumiaji akawa na uhuru wa kuchagua apatiwe aina ipi. #maonihuru.
 
Chanjo zote zitakuja tu, kwani kwa mpango huu wa covax, chanjo zinasambazwa kulingana na upatikanaji wake.
 
Johnson & johnson na pfizer mapema zimejichukulia umaarufu
 
Sputnik na abdallah from cuba nazoo zije?

Ila hii itoe picha kwa serikali za afrika kuwa zianzishe maabara kuubwa ya pamoja na iwe inachangiwa na nchi wanachama ili kufanya tafiti na gunduzi za chanjo sema wa kuanzisha wazo hili ni nani sasa? Wote waoga kuwaudhi mabeberu 🤕🤕🤕🤕🤕
 
Mimi nashauri, kila mtu achanjwe chanjo zote hata kama ni 100 ili kuweka ulinzi mixer kwenye miili yenu
 
Back
Top Bottom