Serikali ipambane na utekaji na uuaji nchini, Vijana wengi wazalendo wanajiunga na Vikundi vya Ukombozi

Serikali ipambane na utekaji na uuaji nchini, Vijana wengi wazalendo wanajiunga na Vikundi vya Ukombozi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Vijana hawana Kazi licha ya kua wana Elimu.
Vijana wameshuhudia wenzao Walotekwa, kuuliwa .
Vijana wanashuhudia Viongozi, WATOTO wao na familia zao kwa ujumla wakiendesha magari ya mabilion, wakifanya Anasa .
Vijana wanashuhudia Utendaji wa JESHI LA POLISI .


VIJANA WANA HASIRA .

Nimekuja Kwako kwa mara nyingine kukumbusha kuwa

👉Waujua ukweli wako kuwa Organs zote za Intelligence na Security apparatuses ya NCHI, zimekuaa Corrupted.

👉Waujua ukweli wako kua NCHI hi ni kubwaa sana na mipaka yake Iko wazi.

SASA BASI...

👇
WAAMBIE WATEKAJI WAACHE MARA MOJA HAYA MAMBO YA UTEKAJI, WAACHE MARA MOJA NA WASIPUUZE SAUTI ZA WATANZANIA.

WAACHE, WAACHE, WAACHE MARA MOJA.

Wake zao tunaishi NAO
WATOTO wao tunaishi NAO
Ndugu zao tunaishi NAO
Hawa viongozi tunao kila siku

WAACHE MARA MOJA, WAACHIE HURU AKINA POLEPOLE ,MDUDE N.K

KAMA AMBAVYO MLIPUUZA OKTOBA 29, NDIVYO AMBAVYO MNAENDA KUA SURPRISED !!!!!!! .

👉Suluhisho la haya mambo, ni Kuwaachia huru Walotekwa, KUSITISHA Utekaji, Kuukubali Ukweli , Uwajibikaji , ACHENI KUKIMBILIA KUKAMATA WATU MITANDAONI, ACHENI KUKIMBILIA KUKAMATA VIJANA VIJIWENI .
 
Hivyo vikundi mbona hatuvioni zaidi ya kutamba mtandaoni tu?

Mlishindwa 29/10/25, hakuna namna mnaweza kuinuka tena
 
Wwkubwa hawa akina CDF huwa hawawezi fanya kitu maana wanakula keki kubwa. Privates and Junior officers ndio huwa wananyoosha ukweli na haki
 
Hivyo vikundi mbona hatuvioni zaidi ya kutamba mtandaoni tu?

Mlishindwa 29/10/25, hakuna namna mnaweza kuinuka tena
Kwani hata hapo kabla si zilikua kelele za mitandaoni tu.

Ndio maana tukaambiwa hakutakuwa na nywinywinywi.

Ila kilichotokea ni historia
 
Hivyo vikundi mbona hatuvioni zaidi ya kutamba mtandaoni tu?

Mlishindwa 29/10/25, hakuna namna mnaweza kuinuka tena
Unafahamu jinsi Umkontho we swize,Anc, PLO,black September,Renamo,Unita,Maumau,majimani na vingine vilivyoaanza?
 
Hao vijana ni akina nani mkuu? Kuna yeyote unaemjua amejiunga?
 
Back
Top Bottom