Serikali ipeleke Bungeni Mswada wa kurudisha Uchifu

Serikali ipeleke Bungeni Mswada wa kurudisha Uchifu

BURUTA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
631
Reaction score
809
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
anataka atugawe atutawale kirahisi
 
Mama anaupiga mwingi, machief ni kwaajili ya kuenzi mila na tamaduni nzuri, kuwarithisha watoto na wajukuu zetu. Au mnataka watoto na wajukuu zetu warithi mila na tamaduni za kimagharibi?
 
Mama anaupiga mwingi, machief ni kwaajili ya kuenz mila na i tamaduni nzuri, kuwarithisha watoto na wajukuu zetu. Au mnataka watoto na wajukuu zetu warithi mila na tamaduni za kimagharibi?
Acha uwongo, machifu wapigaji, maslahi, hamna wanalokubaliwa wakiomba, msimu wa mvua ikifika lazima inyeshe, hamna dua wala maombi ya kuharakisha, ni uviziaji tu. Ni mfumo batili kwa taifa. Kuendekeza machifu na watemi itatuletea shida mbeleni, Nyerere aliona hii kitu si yenyewe, nao wanataka mamlaka hivyo watayumbisha centralisation!
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
Na usultan kwa visiwani pia
 
Hakuna ulichoandika
Acha uwongo, machifu wapigaji, maslahi, hamna wanalokubaliwa wakiomba, msimu wa mvua ikifika lazima inyeshe, hamna dua wala maombi ya kuharakisha, ni uviziaji tu. Ni mfumo batili kwa taifa. Kuendekeza machifu na watemi itatuletea shida mbeleni, Nyerere aliona hii kitu si yenyewe, nao wanataka mamlaka hivyo watayumbisha centralisationkm
 
Kuharamishwa uchifu baada tu ya uhuru kumesaidia sana kuondoa ukabila na kujenga umoja wa kitaifa lakini sasa hivi serikali ya CCM sijui kwa kupungukiwa umaarufu wanarudisha ukabila kwa mlango wa nyuma wakidhani utwasaidia.
So sad!
 
Kuenzi uchief kwa namna yoyote ni kuchochea ukabila.

Tunalaani kwa nguvu zetu zote wale wote wanao shabikia uchief.
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
Pamoja na Kurudisha UCHIFU wapewe
1.Posho
2.V8
3.Wapeperushe Bendera
4.Wahudhurie Vikao vya Bunge
5.Wahudhurie Dhifa zote za Serikali
6.Wapewe Ofisi katika Majengo ya Halmashauri
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
Hatuna utawala wa kisheria, rais hafungwi na sheria. Hata kiapo ni kupoteza muda.
 
Mkileta uchifu wafaidika wakubwa watakuwa Wasukuma na Wanyamwezi kwa ukubwa na idadi yao.Kumbuka enzi hizo usukumani alikuwepo mtemi wa watemi(Mtemi Majebele) makao makuu ya watemi yalikuwa Malya.Wasukuma waliweza kutengeneza umija wao.Jaribuni kucheza na moto sukumaland itashawishika kujitangaza utawala.Achaneni kabisa na hii takataka
 
Hakuna ulichoandika
Uwenda miungoni mwa wanafunzi wa gwajiboy, je, kuna kilema mtaani kwenu unaemfahamu akaombewa kiungo kikarudi? Je unaamini unaombewa hadi unakuwa tajiri? Je kwa akili yako ya kawaida, unaamini unaweza kufanyiwa maombi ukapata mtoto? Swala la kawaida unaambiwa na daktari kuwa uzai lakini baadae mtu uzazi unapatikana, hiyo imetokea kwa mtu wa karibu yangu, bila maombi, ni swala la laumbile kibaolojia, acha kuamini misukule!
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
Unarudi Misri, Mungu akusaidie maana amani na shibe vimekulevya
 
Back
Top Bottom