avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
♦️Nimefuatilia maudhui ya films za KITURUKI za kihistoria ambazo zinahusisha kwa kiasi kikubwa mapambano ya mapanga nikaona kwa mawazo yangu hazifai kuonyeshwa Tanzania
♦️ Zinaonyesha ukatili wa kuchinjana hadharani kwa mapanga, hivyo zinaweza kufanya vijana wakaiga michezo hiyo na kutengeneza uhalifu dhidhi ya binaadam.Michezo inayohusisha mapanga ni tofauti katika jamii na michezo ya bunduki kwani mapanga yanapatikana kwa kila mtu na ni rahisi hata watoto kufanyia majaribio
♦️Pili kwa kuwa ni za kihistoria na wamezitengeneza wao wenyewe na sio nchi nyingine zina propaganda kubwa sana za dini yao, na kwa nchi kama Tanzania ambao tuna mchanganyiko wa dini tofauti naona kwamba zina kaukakasi kakubwa sana kurushwa kwenye media zetu.