Serikali ipige marufuku series za kihistoria za Kituruki

Serikali ipige marufuku series za kihistoria za Kituruki

Wewe unaonekana unachuki za kidini mbona zamani tulikuwa tunacheki film za kivita na za kung fu na pia mapanga yalikuwepo mbona sisi hatujawa wahalifu ?
 
Fanya utafiti uelewe hayo makundi yameanzishwa na kina nani na Kwa lengo lipi!
Soma elim inamsaada sana katika kichwa cha mtu.
Kama hayahusiani nadini mbona hii dini haijitokezi hadharani kuwakemea hao wahuni waache kuichafua dini yao?
 
Ukishaichukulia dini kwa MUHEMKO tayari unakuwa kama PUNGUWANI kiasi fulani hivi.
 
K
Wewe unaonekana unachuki za kidini mbona zamani tulikuwa tunacheki film za kivita na za kung fu na pia mapanga yalikuwepo mbona sisi hatujawa wahalifu ?
Hizo filim tulikuwa hatuangalii mara kwa mara, na ilikuwa lazima uende ukumbini. Lakini hizi kila siku watu wanachinjwa shingo na visu hadharani, watoto wadogo wataingiwa na ukatili na wanaweza kujifanyia majaribio.

Hizi za bunduki hazina effect kubwa kwa sababu bunduki hazipatikani kama ilivyo kila nyumba ina panga na visu na vipo loose bila uthibiti.
 
Mtoa mada kila serikali duniani ina taasisi maalum, idara, mamlaka au wizara ya kusimamia kitu fulani na kukichunguza au kuthibitisha kabla hakijasambaa nchini kwa matumizi kwa wananchi wake. Sijui kama ulilifikiri hilo kabla ya kuleta mada yako.

Usiifundishe serikali kazi, wanajua majukumu yao. Ukiona inaoneshwa basi ujue haina madhara kwa Jamii na wao tayari wameshaifuatilia.
 
Wewe nawe unachuki bila shule, naona huwa unaumia sana uwepo wa hiyo Dini.

Hawa wanafundishwa toka wakiwa wadogo (CHUKI)
Ila tatizo makanisa yalikuwa yanakusanya hela sana na kujimilikisha maeneo na kujenga Mashule na ma hospitali
Lengo kuudhoofisha Uislam ila matapeli yanawaweza sana siku hizi huko kanisani
Linakuja na Range na wao wanarudi mifuko mitupu

Lakini hayashtuki badala yake yanasoma sana ili yaje kuiba
Elimu kwao maana yake ni kiibia serikali ukipata ulaji mahali na ale Rushwa kwa kila anaekuja kuhitaji huduma

Someni muibe Sisi tunaangalia tu
 
Mbona hizi mini series zinaoneshwa katika television nyingi sana duniani?

Nimeona sehemu zimekuwa very popular lakini vijana hawajaanzisha vita ya tatu ya dunia kwa kutumia panga.

Watanzania kweli tuna shida sana.

Labda pia tuombe Uzalo isionyeshwe maana mchezo wake unahusisha sana kanisa na yule shoga anayejipaka make up kwa wingi.

Tutaendelea kweli kwa visingizio vya kila aina?
 
U can't change anything...tunaishi humo toka kitambo.Mambo hubadilika kilasiku ivo nawe nenda vivyohivyo mkuu.Utaumia bure,afu zinaht balaa hizo movies
 
Mbona hizi mini series zinaoneshwa katika television nyingi sana duniani?

Nimeona sehemu zimekuwa very popular lakini vijana hawajaanzisha vita ya tatu ya dunia kwa kutumia panga.

Watanzania kweli tuna shida sana.

Labda pia tuombe Uzalo isionyeshwe maana mchezo wake unahusisha sana kanisa na yule shoga anayejipaka make up kwa wingi.

Tutaendelea kweli kwa visingizio vya kila aina?
♦️ Kuonyeshwa TV nyingi duniani sii kigezo

♦️Kila nchi imejengwa tofauti na nchi njingine, Mkristu wa Tanzania sii sawa kabisa na Mkristu wa Italy ambapo majority ni wakristu kadhalika Muislam wa Tanzania sii sawa na muislam wa Afganistani ambako majority ni waislam

♦️ Hizi filim kama unafuatilia wachambuzi mbalimbali kila mmoja anaangalia upande wake, wengi wakichambua zaidi kwenye fani, mfano ma editors wanaangalia upigaji wa picha, na editing kwa ujumla, kuna wanaoangalia mavazi nk.

♦️Mimi uchambuzi wangu nimejikita kwenye MAUDHUI na nikagundua kuwa pamoja na kuengeneza historia ya kipropaganda kuhusu dola ya ottoman lakini ina propaganda ya uenezi wa dini kwa kuonyesha kuwa dini yao ni supprime over all others
 
Apocalypto,Saw zioendelee kuonyeshwa ila za kituruki tu ndo zisionyeshwe!
 
Back
Top Bottom