mbatizaji kenzeva Senior Member Joined Aug 13, 2020 Posts 115 Reaction score 78 May 23, 2022 #41 Ivi magaid yapo dini gani jamani Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 3,338 Reaction score 6,327 May 23, 2022 #42 Waache za ma-zombie?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 23, 2022 #43 Kwa hiyo unahisi watu wataiga...
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,323 May 23, 2022 #44 Ukweli usemwe Azam hawana cultural diversity kwenye programmes zao, kwamfano nikiwa sipend uturuki ina maana sina cha kuangalia what a shame!
Ukweli usemwe Azam hawana cultural diversity kwenye programmes zao, kwamfano nikiwa sipend uturuki ina maana sina cha kuangalia what a shame!
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 May 24, 2022 #45 Msiwafanye Watanzania ni mayai ya kuku.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 24, 2022 #46 mbatizaji kenzeva said: Sisi wakilisto tunalaani ujinga unaofanywa na azam midia hii ya udin hii itatuletea shida hii Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app Click to expand... Wakilisto” Mna shida [emoji23]
mbatizaji kenzeva said: Sisi wakilisto tunalaani ujinga unaofanywa na azam midia hii ya udin hii itatuletea shida hii Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app Click to expand... Wakilisto” Mna shida [emoji23]