Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Habari za hasubuhi.
Tanzania kuna changamoto ya watu ambao hawana nyazifa ya usemaji lakini wao wanahisi kwa sababu wanatetea chama cha mapinduzi au serikali basi wako tayri kusema lolote wanalojisikia na kusemea jambo lolote.
Ikitokea mtu akadaiwa kutekwa unakuta kwenye media wanatolea taarifa au ufafanuzi ambao kimsingi unakuta ni wanajiamulia tu Mambo
Jambo ambalo watu wanauliza anatokea mtu from know where anatoa ufafanuzi
Hawa watu wanaongeza taharuki katika jamii wanatakiwa wapigwe stop ili kulinda direct chain of the information ili kama kuna ufafanuzi au majibu juu ya changamoto fulani majibu yapatikane kutoka sehemu husika.