luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz
Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa Tz, mabaraza yetu ya kiswahili Bakita + Bakiza hawatambui hii misamiati kabisaa, na mm naona tuki endelea na huu upuuzi ipo siku watatuaribia watoto wetu...
Au kama ni vipi hawa BBC na vyombo vingine waambie wawe wana matangazo ya Kiswahili cha Tz na Kiswah cha Kenya,