luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Watoto wa wapi wanaangalia taarifa za habari?Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz
Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa Tz, mabaraza yetu ya kiswahili Bakita + Bakiza hawatambui hii misamiati kabisaa, na mm naona tuki endelea na huu upuuzi ipo siku watatuaribia watoto wetu...
Au kama ni vipi hawa BBC na vyombo vingine waambie wawe wana matangazo ya Kiswahili cha Tz na Kiswah cha Kenya,
Nani alikwambia kiswahili kina milikiwa na Tanzania? Hao watangazaji wa TBC ndiyo unataka wakaajiriwe DW, BBC & VOA ata uelewa wao wa mambo ya kidunia ni mdogo wanalala na kuota CCMWadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz
Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa Tz, mabaraza yetu ya kiswahili Bakita + Bakiza hawatambui hii misamiati kabisaa, na mm naona tuki endelea na huu upuuzi ipo siku watatuaribia watoto wetu...
Au kama ni vipi hawa BBC na vyombo vingine waambie wawe wana matangazo ya Kiswahili cha Tz na Kiswah cha Kenya,
Umeachika?Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz
Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa Tz, mabaraza yetu ya kiswahili Bakita + Bakiza hawatambui hii misamiati kabisaa, na mm naona tuki endelea na huu upuuzi ipo siku watatuaribia watoto wetu...
Au kama ni vipi hawa BBC na vyombo vingine waambie wawe wana matangazo ya Kiswahili cha Tz na Kiswah cha Kenya,
Achana na Marekani tupo bongolandWatoto wa wapi wanaangalia taarifa za habari?
Bro vijana wa miaka 16 - 40 ni wachache sana wanaoangalia taarifa za habari Tanzania na duniani kwa ujumla.
Kuna ripoti nilisoma inasema asilimia kubwa ya vijana wa Marekani hawafatilii kabisa siasa yani hawajui chochote!