Serikali iruhusu kuwepo kwa vyuo ambavyo havijasajiliwa kwa sharti kuwa vijitangaze kuwa havijasajiliwa popote

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Nchi zote zilizoendelea ikiwemo Marekani huwa wana vyuo ambavyo havajiasajiliwa.

Ili mradi vijitangaze hivyo kuwa chuo ni unaccredited na kuwa havitoe vyeti vinavyotambuliwa popote.

Hivi vyuo huwa ni muhimu sana sababu vingi hutoa knowledge za jinsi ya ku survive mitaani.

Pia ndivyo hutumika kuingiza knew knowledge ambayo haipatikani kwenye vyuo vyenye formal syllabus.

Mfano mtu aweza anzisha kozi ya kutengeneza mipira ya miguu au simu kama huyu hapa aliyewezesha simu yake kuwasha na kuzima taa ukiwa popote duniani.

Un accredited nchi za wenzetu ziko kibao na huongezeka kila wakati soma hapo.
 
kama hakija sajiliwa means vyeti vyao havitatambulika. means utawaingiza watu kwenye hasara kwa kusoma muda mrefu then cheti kisipokelewe kokote
 
si kweli mtu anaenda kusoma kutafuta knowledge tu aendelee na maisha yake hana haja na cheti mfano anaenda kusoma kilimo anachagua masomo machache tu mfano aweza kuamua kubobea kwenye kuunda mashine za kilimo tu akaachana na misomo lukuki iliyomo wenye diploma anajichagulia masomo mawili matatu yanamtosha mengine anatupilia mbali.Ukikutana naye mtaani utamkoma anajua kutengeneza mi mashine ya kilimo kibao na hana cheti kasomea maeneo un accredited

mfano India viko kibao hawa wahindi tunaoona wamejaa ujanja mwingi wengi ni matokeo ya hivyo vyuo un accreditted
 
kwa dunia ya sasa usitegemee cheti tegemea skills,ujuzi na maarifa wenzetu walishatoka huko kwenye mambo ya vyeti na ndo maana wanatangaza kwamba havijasajiliwa na wanafunzi wanajaa kibao na baada ya hapo wanaingia mtaani na waliopata vyeti kwenye vyuo vilivyosajiliwa na ambao hawana vyeti wakaonekana bora zaidi,we baki kukaa na vyeti vyako kabatini ohh nina GPA nzuri
 
Kwa weledi wako,situongeze tu viwanda viwe 2m kutoka 8k.
 
kwa dunia ya sasa usitegemee cheti tegemea skills,ujuzi na maarifa wenzetu walishatoka huko kwenye mambo ya vyeti na ndo maana wanatangaza kwamba havijasajiliwa na wanafunzi wanajaa kibao na baada ya hapo wanaingia mtaani na waliopata vyeti kwenye vyuo vilivyosajiliawa na ambao hawana vyeti wakaonekana bora zaidi
Mfano mzuri course za computer zilianza kufundishwa vyuo visivyosajiliwa mwanzoni sababu ma vyuo yaliyosajiliwa hayakuwa na hiyo sylabuss wala walimu course zote za microsoft zilizojazana vyuoni sasa hivi zilianza kwanza kufundishwa un accredited mitaani

mivyuo iliyosajiliwa ilipooana wengi wanakimbilia mitaani kusoma course za computer VYUO VISIVYOSAJILIWA hawajiungi kwao vikaamua kuweka kwenye mitaala yao

Mfano mzuri ni course za ufundi wa pikipiki na Simu VETA walikuwa hizo course hawana mitaani watu wakawa wanafundishana Matokeo wengi wakazama huko na ajira nje nje .VETA baadaye ndio wakaja kushtuka ndio wakaingiza kwenye mifumo yao.Mafundi simu na pikipiki wengi wamepitia vyuo visivyosajiliwa kujua wanachojua.nA WENGI hawana cheti chochote lakini wanajua hatari mfano huyu katengeneza simu yake mwenyewe inatumia betri mbili

kama hakija sajiliwa means vyeti vyao havitatambulika. means utawaingiza watu kwenye hasara kwa kusoma muda mrefu then cheti kisipokelewe kokote
Watu wengi sasa hivi hawatafuti vyeti wanatafuta knowledge ya kuishi mtaani zaidi.Hivi vyuo nchi za wenzetu vina mchango mkubwa sana

Tanzania kuna mmoja alifungua chuo chake hakikuwa na usajili kilikuwa pale buguruni dar es salaam sijui kama bado kipo

Huyo mzee alikiita Bruno Engineering school kitu kama hicho,Alikuwa akifundisha wanafunzi wake kutengeneza gari iunayotumia mafuta taa na hiyo gari ilishapelekwa hadi maonyesho ya sabasaba Dae salaam na iliweza kutembea ilipojaribiwa ilitembea kutoka Dar salaam hadi bagamoyo ikiwa imetumia mafuta kidogo kama lita tano tu,

Aliulizwa kwa nini ameamua kutengeza gari inayotumia mafuta ya taa? Akajibu hiyo gari ni kwa ajili ya watu wa vijijini kusiko na petrol station za petrol au diesel kwa kuwa mafuta ya taa yako kila kijiji Tanzania ndio akaona aunde hiyo gari yake,Kuna kipindi alikuwa akiumwa sana sijui yuko hai au kafa sijui lakini alikuwa buguruni pale karibu na makaburi ya Anglikana.
 
kama hakija sajiliwa means vyeti vyao havitatambulika. means utawaingiza watu kwenye hasara kwa kusoma muda mrefu then cheti kisipokelewe kokote
Enzi za kuwinda vyeti tu zimepita
 
kwa dunia ya sasa usitegemee cheti tegemea skills,ujuzi na maarifa wenzetu walishatoka huko kwenye mambo ya vyeti na ndo maana wanatangaza kwamba havijasajiliwa na wanafunzi wanajaa kibao na baada ya hapo wanaingia mtaani na waliopata vyeti kwenye vyuo vilivyosajiliwa na ambao hawana vyeti wakaonekana bora zaidi,we baki kukaa na vyeti vyako kabatini ohh nina GPA nzuri
dunia ya sasa unaenda kwenye usaili na qualification za skills na vyeti.
is why mpaka leo taasis na serikali zinadhibitisha skills zako kwa vyeti
 
hazijapita. ndio maana kila job advertise wanataka vyeti vinavyo indicate qualification zako. otherwise wasingekuwa wanaomba
Sio kila mtu anataka ajira vyuo visivyosajiliwa hufundisha watu kwenda moja Kwa moja kujiajiri mfano ni course kama za ufundi pikpiki, ufundi wa simu nk hizi ni baadhi anayetaka za kuajiriwa ruksa kwenda za mfumo rasmi

Vyuo visivyo rasmi vina wateja kibao mafundi simu na pikipiki unaowaona mitaani wamepitia vyuo visivyo I rasmi na wako vizuri hasa. mafundi TV, radio nk

Serikali iruhusu. Mifumo yote kufanya kazi ila vyuo visivyo mfumo rasmi vijitangaze kuanzia mabango, fomu za kujiunga na kuwaeleza kabisa wanaojiunga wazi kabisa kuwa chuo chetu hakina usajili kabisa ila sisi tuakupa tu ujuzi au uelewa ukakusaidie huko uendako
 
dunia ya sasa unaenda kwenye usaili na qualification za skills na vyeti.
is why mpaka leo taasis na serikali zinadhibitisha skills zako kwa vyeti
Unawaza kuajiriwa tu?

Mtaani TV yangu ikiharibika sihitaji CV ya fundi nampelekea mwenye skill wengi darasa la saba wamesomea vyuo visivyo rasmi na ni mafundi hasa

Saa ikiharibika sihitaji kutafuta CV ya fundi kuwa ana degree ya kutengeneza saa na haipo.

Hivi vyuo visivyo rasmi hubeba watu zaidi wanaotaka kujiajiri
Unaposema watu wajiajiri eneo moja lenye uwezo mkubwa wa kuzalisha watu kujiajiri ni vyuo visivyo rasmi

Mfano mdogo kuna vyuo kibao visivyo rasmi vya mambo ya kusuka yaani saloon na wanafunzi wakitoka direct wanaenda kujiajiri kwa mamia ! Na hawpewi cheti chochote not hulipa ada na hutoka wameridhika hakuna certificate wala graduation lakini akiingia mtaaani moto wa kuotea mbali. msomi kutoka chuo rasmi unakuta kazi hana huyu wa kutoka chuo kisicho rasmi kazi anayo ya kujiajiri. Wa chuo rasmi utampigia kelele ajiajiri unamkuta bwege tu hata haelewi aanzie wapi wa chuo kisicho rasmi anajua kila kitu kuanzia aanzie wapi na aende vipi maujanja yote kapewa! !!
 
i think una deviate kutoka kwneye swali lako. siwazi kuajiriwa as now na uwezo wangu niko pazuri. siongelei about tv yako, siongelei kazi ndogo?
naongelea about taasisi na mifumo ya serikali nchi nzima.

lakin narudi pale pale je taasisi zinaangalia skills bila certification?
 
Sio kila mtu anataka ajira vyuo visivyosajiliwa hufundisha watu kwenda moja Kwa moja kujiajiri mfano ni course kama za ufundi pikpiki, ufundi wa simu nk hizi ni baadhi anayetaka za kuajiriwa ruksa kwenda za mfumo rasmi

Vyuo visivyo rasmi vina wateja kibao mafundi simu na pikipiki unaowaona mitaani wamepitia vyuo visivyo I rasmi na wako vizuri hasa. mafundi TV, radio nk

Serikali iruhusu. Mifumo yote kufanya kazi ila vyuo visivyo mfumo rasmi vijitangaze kuanzia mabango, fomu za kujiunga na kuwaeleza kabisa wanaojiunga wazi kabisa kuwa chuo chetu hakina usajili kabisa ila sisi tuakupa tu ujuzi au uelewa ukakusaidie huko uendako
serikali haiwezi ruhusu in the name hao watu eti watajiajiri? miaka ya sasa hata wanaotokq kwenye vyuo vikongwe vilivyosajiliwa wanajiajiri.
kuna akina veta na colleges nyingi tu. sioni reason ya kuruhusu vyuo ambavyo havijasajiliwa
 
Bei na choice ya cha kusoma haiko wide VETA
Mfano mimi nataka tu jinsi ya kutengeneza kile kidude cha kwenye dish la TV LOL kilichoharibika hiyo course VETA hawana au nataka kuwa fundi wa kutengeneza ving'amuzi vilivyoharibika nifungue gereji ya ving'amuzi course hiyo hakuna VETA! !!! Na walimu hawana. lakini Soko linawahitaji

Nchi za wenzetu Huachiaa ili ma gap wajaze wao Na hii husaidia wanafunzi pia wanaotaka tu kusoma kitu kimoja tu katika lukuki ya masomo

Vyuo visivyosajiliwa ndiyo vyenye uwezo wa u cover hiyo gap
 
i think una deviate kutoka kwneye swali lako. siwazi kuajiriwa as now na uwezo wangu niko pazuri. siongelei about tv yako, siongelei kazi ndogo?
naongelea about taasisi na mifumo ya serikali nchi nzima.

lakin narudi pale pale je taasisi zinaangalia skills bila certification?
Individuals ambalo ndio Soko kubwa Tanzania hatuangalii certification tunaangalia skill tu ndio maana nikatoa mfano wa mafundi wa TV, radio, saa, pikpiki nk ni Soko kubwa lenye kutoa watu wengi wanaoijiajiri wasiohitaji kutundika cheti ukutani cha certification wao skill zao ndizo zinawabeba ajira. Mtaaani na ni ajira nyingi. na jamii inawakubali kuwa wabobezi na wanajua kazi yao vizuri

Huko kwenye taasisi hayo yao wayajadili huko huko Kama wanahitaji nini Siwaingilii
 
"individuals" as you said.
mimi siongelei individuals naongelea organizations private and public.

kwa hilo unaliongelea mostly ni experience. sio lazima chuo.
lakin mtu huyo huyo akiamua kwenda taasis zingine atashindwa maana amesha locked kwa individual sector.
 
Kwa taarifa yako kwa Sasa private sector inalipa vizuri kuliko public sector sio rahisi kumchomoa professional toka private sector aende public sector

Lakini pia Hawa waliosoma vyuo visivyosajiliwa kama mafundi pikipiki, simu, baiskeli, saloon nk hawana mpango wa kuomba kazi serikalini au public sector yoyote
 
Back
Top Bottom