Serikali iruhusu kuwepo kwa vyuo ambavyo havijasajiliwa kwa sharti kuwa vijitangaze kuwa havijasajiliwa popote

Kwa taarifa yako kwa Sasa private sector inalipa vizuri kuliko public sector sio rahisi kumchomoa professional toka private sector aende public sector

Lakini pia Hawa waliosoma vyuo visivyosajiliwa kama mafundi pikipiki, simu, baiskeli, saloon nk hawana mpango wa kuomba kazi serikalini au public sector yoyote
hakuna mahali nimeandika private sector hawalipwi vizuri. lakin pia nionyeshe private company or organization inayolipa vizuri ambayo mtu anaingia kwa skills bila cheti?

I:E nimeongelea makampuni na organizations.
si kazi ambazo zinatolewa na mtu mmoja au kikundi.
 
Mimi naongelea kujiajiri wewe unaongelea kuajiriwa tunaongea sio topic moja debate huwa na topic moja anyway kutusaidia anzisha topic ya je company au organization iwe public au private yaweza ajiri mtu asiye na cheti aliyesomea vyuo visivyosajiliwa lakini ana skills ? Fungua mada yako hilo

Mimi hapa nimejikita kujiajiri tu mitaani si vinginevyo
 
Kwa weledi wa kikwenukwenu si mtaanza kufundishana uchawi, ubambikiaji na uonevu na uvunjaji wa sheria na katiba wa viwango vya shetani?
Vyuo visivyosajiliwa havina uwezo wa ku cover kila kitu Natoa mfano mdogo tu hakuna chuo cha kufundisha kutengeneza remote za TV au radio na magari za kufungua na kufunga milango zilizoharibika lakini Soko lipo na Soko la kujiajiri lipo kibao VETA hawana course na hawana walimu!! Ikiharibika remote iwe ya TV au radio au ya Tanesco nk wanatoa mimacho tu wao na mainjinia waliomaliza vyuo vilivyosajiliwa hawajui kutengeneza wao na maprofesa wao wa engineering!
 
Wewe siunajua,uwe tofauti na wao Sasa,tekeleza wazo lako kwa weledi,ili ujitofautishe nao.
 
Mitaani wapo sio kwamba ni wazo Jipya ninachokataa ni serikali kukomaa kuwa vyuo Vyote vya Viwe registered
Kuna gaps kibao ambazo wao kwa mifumo yao ya kusajiiwa hawawezi ku cover marekani na Ulaya na Asia wenyewe wanajua hilo viko kibao na vinatoa wajuzi kibao wanaojiri wasio na mpango wa kuajiriwa popote hata umpe ajira bure kwa kumfuata nyumbani kwake kumbembeleza
 
Back
Top Bottom