A
Anonymous
Guest
Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia, itapata kodi ya kila gari linalo lala ikijenga na vyoo na mabafu pia itapata hela.
Dodoma Nala hamna maegesho ya malori eneo lililopo ni dogo ukilinganisha na uhitaji. Serikali isafishe eneo na kutoa ruhusa wananchi walitumiee.
Barabara inaukubwa wa Mita zaidi ya 150, eneo linalobaki kila upande ni zaidi ya Mita 75 kwa sasa limeota nyasi kwa mtazamo serikali hata wakishindwa kulisafisha wakawapa Wananchi ruhusa ya kulitumia kwa muda wananchi wakasafisha wenyewe na linawezà kutoa ajira za mama ntilie, mafundi wa magari wabeba mizigo wauza spea za magari maduka madogo madogo na n.k
Jumla Serikali itakuwa imesaidia zaidi ya wananchi 2000+ kujiajiri pia jiji linaweza kuingiza pesa kwa kila gari litakalokuwa linasimama eneo hilo na wakati wa usiku serikali inaweza kupata mapato ya kulinda magari. Kwasasa eneo linalotegemewa ni hilo pia ni dogo ukilinganisha na mahitaji.
Hata wasiposafisha waweke utaratibu mzuri kama mita 7 kutoka mwisho wa miliki za barabara viwekwe vibanda vya kuhamishika hata wakisema wanapangisha hakuna shida alafu mita tatu toka vibanda vinapoanzia ipandwe miti kwa mstari.
Eneo lingine linalobaki vifanywe eneo la maegesho na serikali ichukue kama ni 2000 kwa kila gari linaloingia kwa siku na 5000 kwa kila gari linalolala kwa siku ikiwa ni pamoja na ulinzi kwa usiku
Nina uhakika kwa ukubwaa wa eneo inawezekana kuingiza zaidi ya gari 100 kwa siku na wananchi wakajipatia vipato na kupungua kwa uhaba wa ajira.
Kabla ya hapo tuliamishwaa kupisha ujenzi wa soko la machinga tukapewa eneo lingine ambalo kwasasa halifanyi kazi sababu hakuna gari inayopita hapo.
Dodoma Nala hamna maegesho ya malori eneo lililopo ni dogo ukilinganisha na uhitaji. Serikali isafishe eneo na kutoa ruhusa wananchi walitumiee.
Eneo linalopendekezwa
Makutano ya malori yanayotoka njia ya Iringa kwenda Singida na Arusha, Dar kwenda Singida kiufupi ni makutano lori lolote linalopita mkoa wa Dodoma naona aibu hata kuita jiji wakati kilometa 9 kutoka katikati ya mji hapajawahi kuwa na maji 😁😁.Barabara inaukubwa wa Mita zaidi ya 150, eneo linalobaki kila upande ni zaidi ya Mita 75 kwa sasa limeota nyasi kwa mtazamo serikali hata wakishindwa kulisafisha wakawapa Wananchi ruhusa ya kulitumia kwa muda wananchi wakasafisha wenyewe na linawezà kutoa ajira za mama ntilie, mafundi wa magari wabeba mizigo wauza spea za magari maduka madogo madogo na n.k