Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Wanajamvi naleta mjadala tata lakini wenye mantiki.
Ni kuhusu kutengeza vifaa vya kisasa kutengenza gongo na pombe za kijadi. Tuna kasumba ya kudharua bidhaa zetu zasili napombe zimekuwa zinaitwa za kienyeji nadhani neno sahihini vinjwai vya kijadi.
Mnaonaje serikali ikiweka sera ya kuweka standard ya vipimo wadau wengine wakatengeneza vifaa vya kisasavya kufanya distilation na hatua nyingine vinywaji hivi vinavyopitiampka kuwa tayari kutumiwa. The mtu kijijini akapata kibali maalum kuwa uzalishaji wake umekidhi viwango na kuruhusu vinywaji hivi viingine kwenye soko kihalali.
Nimesoma ulaya kuna watu wanatengeza wine kihalali majumbani kwa niniisiwe kwa gongo na vinwaji vingine. visihalalishwe.

- Je utengezaji wa vinwaji vya kijadi hautmii teknolojia.?
- Je Kuna tatzo ganikatika teknolojia inayotumika?
- Nini kifanyike ?
- Je unaunga mkono kuwepo na viwnada vidogo vya kuengeneza vifaa vya kisasa kutengenza pombe za kijadi.?
- Kama ndio au hapana kwa nini?
- Serikali ifanye nini kukuza viwanda vya ndani sehemu za vijijini. u viwanda vinatakiwa kuwa mijini tu.