Serikali isaidie kurudisha mali zilizoporwa na viongozi walipokuwa madarakani

Serikali isaidie kurudisha mali zilizoporwa na viongozi walipokuwa madarakani

Habari hii iliwahi kuandikwa wapi mkuu?

Mfanyabiashara huyo anaitwa nani?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Waliokufa kwa kuchukuliwa pesa zao mbona wengi.
Ndani ya miaka 6 ya utawala wa chuma jumla ya matajiri wakubwa nchini walikufa unahisi nini kilichoharakisha vifo vyao.
 
Waliokufa kwa kuchukuliwa pesa zao mbona wengi.
Ndani ya miaka 6 ya utawala wa chuma jumla ya matajiri wakubwa nchini walikufa unahisi nini kilichoharakisha vifo vyao.
Nataka kumfahamu huyo wa bilioni 25 mkuu.

Hao wengine hata sihitaji chochote.


B25 ni nyingi mno ndio maana nataka kumfahamu.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Ngumu sana maana kuna wastaafu wazito pia humo
 
mimi kama mtu angekuwa alinyangánya kiwanja changu, sasaivi ningeenda kuvamia na kuanza kujenga, akija kunifukuza nasema ukweli kwamba alinipora/alinilazimisha nihamishie kwake bila ridhaa yangu. kama nilimuuzia aonyeshe risiti au hata kwenye bank statement namna alivyohamisha pesa kwangu. akisema tulipeana mkononi kwa majumba mfano ya mikocheni hayo ya milioni 400 na kuendelea hayo, ataonekana mwongo kabisa.

sio uonezi kunyangánya mali ya dhurma, wote waliodhurumu wanatakiwa kuporwa mali hizo sawasawa na majambazi wanavyoporwa mali za wizi.
 
Hii nchi ina watu wa hovyo sana tunachukiana masikini kwa masikini hivi hela na mali alizopora bashite ni nyingi kuliko zile walizogawana kwenye mifuko na bahasha awamu ya nne na hakuna awamu itavunja record ya awamu ya nne kwa kupiga pesa badala tuwakomalie wale mnataka hao vidagaa waadhibiwe mapapa mnawaacha kweli magufuli alikuwa anachukiwa na wengi.
 
Kwa Hili sakata la GSM .serikali Hadi leo imemlea makonda kiasi gani ...kesi ya uvamizi wa eneo na kutumia madaraka vibaya unamwachaje mtu Kama huyu uraiani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom