Waliokufa kwa kuchukuliwa pesa zao mbona wengi.Habari hii iliwahi kuandikwa wapi mkuu?
Mfanyabiashara huyo anaitwa nani?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Nataka kumfahamu huyo wa bilioni 25 mkuu.Waliokufa kwa kuchukuliwa pesa zao mbona wengi.
Ndani ya miaka 6 ya utawala wa chuma jumla ya matajiri wakubwa nchini walikufa unahisi nini kilichoharakisha vifo vyao.
...Na alizipataje na yeye...Nataka kumfahamu huyo wa bilioni 25 mkuu.
Hao wengine hata sihitaji chochote.
B25 ni nyingi mno ndio maana nataka kumfahamu.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Tajiri wa madiniNataka kumfahamu huyo wa bilioni 25 mkuu.
Hao wengine hata sihitaji chochote.
B25 ni nyingi mno ndio maana nataka kumfahamu.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Tajiri wa madini yupo mmoja Tanzania nzima?Tajiri wa madini
Ya kwanzatuanze na waAwamu ipi?