Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

ONDOA UNAFKI WAKO HAPA WE MBWEHA.

MBONA KILA SIKU MABASI YANAUA WATU NA HATUWAONI MKISHIKILIA MABANGO HUMU , AU HAO WANAOFIA BARABARANI NAO SIYO WATU ?

Barabara sio ndege
 
Ukosahihi ndege zimefukuzwa marekani zinafanya rut nchini Tanzania mitumba tutatumia mpaka ituue Sana ndipo tushituke
Ukiwa huna fedha ya kuingia Samora Avenue kwa maduka ya ki Boutique utaisha Ila kwenye mitumba ujiseritiri. Ujue tu.kuchagua vema usichukuw maronya!!

Air travel is not only a highly regulated but also the safest means of transport.

Ndege imeua 19 tangu tupate Uhuru ndio mbengambenga nyingiiiii kama vile imeua.maelfu!
Barabarani wananchiwanachinjwa kila dakika na ajali za magari na boda tunaona kawaida!!.
Au kwa vile ndege wanapanda wenye nafasi zao (nikiwemo)!!

Tumelogwa!!

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Duh !
 

Hapa hatushindanishi ni usafiri gani una ua zaidi.
Focus kwenye content , everything is there depend on how you read
 
Shida private sector tz wanajali faida kuliko usalama. Hata hii ajali kubwa naona kulikua na jaribio la kuzugazuga lakini haikuwezekana. Binafsi sijawahi kusafiri na precision air ila nimewahi several occassions kusoma kosakosa and then wanazidownplay.
Nakubaliana kabisa ingesimamishwa kwa muda kufanya uchunguzi kuhusu safety na maintanance record yao.
 
Maneno yako tu ndio tuyaamini? Subiri uchunguzi taarifa itatolewa uzuri wa ajali za ndege uchunguzi ni comprehensive na hujumuisha taasisi kibao akiwamo na manufacturer l.
Bado unaédelea kusubiri Uchunguzi ?
Maneno yako tu ndio tuyaamini? Subiri uchunguzi taarifa itatolewa uzuri wa ajali za ndege uchunguzi ni comprehensive na hujumuisha taasisi kibao akiwamo na manufacturer l.
Miaka mingapi sasa ? Hata kutumia akili ya kuzaliwa ni tatizo pia ?
 
Watz tunauana wenyewe na mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…