Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka


Good for him
 
Kwa hiyo, tume ya uchunguzi tuifute na tufanye maamuzi kupitia ripoti yako hii?

Waswahili tuna shida gani jamani? Shusha adrenaline yako kwanza ili upate nafasi nzuri ya kudadavua mambo. Ni hilo tu nakuomba ufanye!!!

The word adrenaline ume misuse, pole

Halafu Kwenye post , hakuna sehemu nime mention tume, why did you mention it ? Ni matumizi mabaya ya resources . Nakushauri usirudie tena
 
Naanza kuamini kuna namna ya vita ya kibiashara juu ya hili [emoji848][emoji848][emoji848]

You have wrong idea kijana.

Wisdom has been chasing you but you have always been faster.

Pole.
 
Wivu kwa sababu Yuko Rostam..

Wewe na abiria Kama huyu Larry wa CNN anayesema ndege ni salama na amesafiria Mara nyingi tumuamini Nani labda?👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221108-114040.png
    157.8 KB · Views: 3

Asante. Umeongea vema.

Taarifa zisizo rasmi kutoka kwa hao waliopona zinasema kwamba , within 30 minutes Tangu ndege kudondoka almost kila mtu alikuwa mzima. Hata Rubani alikuwa mzima .

Yule dogo alitaka kumuokoa ruban for 15 minutes , he was finding way out huku rubani akimpa instruction dogo nini cha kufanya.

Taarifa zinadai kwamba within 30 minutes za ndege kudondoka, rubani alikuwa bado anafanya mawasiliano na watu wa nchi kavu, akawa anawaambia fanyeni haraka maji yanaanza kuingia ndani .......

Yule dogo hakuwa na vifaa vya kuvunjia zile front spaces na mwisho wa siku , walipokuja waokoaji wakamzuia dogo kufanya lolote ... it is in those minutes ndio rubani na VIP seats walikuwa wanamalizia pumzi yao ya mwisho, only to find out kuwa maji yalikuwa yameshawafunika.

Hivyo utaona wazi Zile Emergency procedures hata wahudumu hawakuzifuata.

Hili shirika kuna maupuuzi mengi ndani yake ..., kwanza hawa walaumiwe for non-compliance kisha tuje kwa serikali
 
Nimeyashuhudia matendo ya kishetani, hiki kiherehere chako cha kutoa hoja ya kusimamishwa Precision Air kabla hata ripoti ya uchunguzi wa chanzo cha ajali kutoka ndiyo inathibitisha nia yenu ovu na ndiyo ushetani wenyewe huo.

Kama umeshududia basi wewe ni miongoni mwao .
 
Exactly
 
Maneno yako tu ndio tuyaamini? Subiri uchunguzi taarifa itatolewa uzuri wa ajali za ndege uchunguzi ni comprehensive na hujumuisha taasisi kibao akiwamo na manufacturer l.
RUHUSU ROHO ZA MAREHEMU ZIPUMIIKE KWA AMANI.....
FRM EXP MTU AMBAE ANGETOA UKWELI RUBANI KAMA ANGEPONA.....KWENYE NDEGE KUNA SPARE ZINAITWA GO ITEMS N NO GO ITEMS
HIZI RUBAN ANAANGALIA KABRASHA ZAKE KAMA INAMRUHUSU KWENDA MA LAH
SHIDA KUBWA INAYOTESA MARUBANI ENGN AKIAMBIWA HII SPARE N SHIDA WANAANZA PGIANA SIMU UKO JUU RUBANI UNABAKI KUWA MSUKULE WA MA ENGN....

BINAFSI NINGEANZA KUMHOJI YULE ALIESALIMIKA AMBAPO AKIWA HOSPT AKASEMA MPAKA WANASHUKA ANANGALIA MATAIRI HAYAJATOKA NJE AKAJISOGEZA ENEO LA KUTOKEA

HAPA TUNGEANXA KUJUA SABABU YA KWANXA N IPI ....WELL MNAWEZA SEMA HALI YA HEWA..ILA RUBANI FST CHOICE TAIRI AZITOKI ANA RUDI JUU AKIJARIBU TENA BAHATI YAKE MMIMEGOMA ANANGALIA MAFUTA YANAMRUHUSU KUZUNGUKA JUU AKISUBIIRIA KAMA YATATOKA NJE TAIRI....

..IKIGOMA N KUIPELEKA KWENYE MAJI
UKISHUKA CHINI ARDHINI UWEZO WA KUWA KA MOTO N MKUBWA NA MOTO UNAANZIA KWA RUBANI...MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI WOTE

USHAURI
HUWA TAA WANAMAZOEZI YA EMERGENCY NA HATA AMBULANCE KUPITA MTAANX WASIOJUA UNAWEZA HISI AJALI

MAZOEZI HAYA YAFANYIKE NA KWENYE MAJI PIA NDEGE IKIWA JUU ..UKIANGALIA WAFANYAKAZI WA NDEGE NDANI WA KWANZA KUJUA HALI SIO.RUBAN AKIFIKA KIMO FULAN ANACOMAND EVACUATION

AJABU MAJALIWA AAWAFUNGULIA MLANGO WAKATI WAO NDIO WA KWANZA KUFUNGUA EMERGENCY DOOR NA KUKAA PALE KWENYE WING WAKIVUTA WALIO NA FLJKT KURUKA KWENYE MAJI UKIONA INA SINK UNARUHUSIWA KUANZA NA KUWAACHIA WALIOBAKIA WAPAMBANE NA HALI ZAO.

.SWALI WALITANGAZIWA NA RUBAN KUFUNGUA MLANGO??ANAJUA RUBAN NA CREW WALIOPONA

2.KAMA WALITANGAZIWA IWEJE AWAKAFUNGUA MLANGO WAKATI NDEGE KABLA YA KUONDOKA WANAPEWA ABIRIA DEMO YA KURUKA WAKIWA WANA EMERGENCY KWA MAJI NA NCHI KAVU...NYWAY EMERGENCY HAINA ADBU PENGINE HATA WALIFAINT WALIPOPELEKWA TAARIFA KUFUNGUA MLANGO..POLEN MA CREW WOTE.......

HIZI NDEGE ZIPELEKE CREW KWENYE MAZOEZI YA MAJI KINA KIFUPI WARUKIE HUMO TUSISUBIRI KUZAMA ZIWAN....
RIP ALL
 
Wacha umaskini we kada Sasa milioni 400 kwa watu wa3 ni pesa gani ya kumfanya huyo mwamba awe tajiri kiasi Cha kufikia kuja kusimulia humu[emoji3061]
 
Limuandiko libaya hadi macho yanauma[emoji3061]
 
hoja zako madhubuti kabisa. Inaonekana ni mtu wa mambo hayo wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…