Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
- Thread starter
-
- #141
RUHUSU ROHO ZA MAREHEMU ZIPUMIIKE KWA AMANI.....
FRM EXP MTU AMBAE ANGETOA UKWELI RUBANI KAMA ANGEPONA.....KWENYE NDEGE KUNA SPARE ZINAITWA GO ITEMS N NO GO ITEMS
HIZI RUBAN ANAANGALIA KABRASHA ZAKE KAMA INAMRUHUSU KWENDA MA LAH
SHIDA KUBWA INAYOTESA MARUBANI ENGN AKIAMBIWA HII SPARE N SHIDA WANAANZA PGIANA SIMU UKO JUU RUBANI UNABAKI KUWA MSUKULE WA MA ENGN....
BINAFSI NINGEANZA KUMHOJI YULE ALIESALIMIKA AMBAPO AKIWA HOSPT AKASEMA MPAKA WANASHUKA ANANGALIA MATAIRI HAYAJATOKA NJE AKAJISOGEZA ENEO LA KUTOKEA
HAPA TUNGEANXA KUJUA SABABU YA KWANXA N IPI ....WELL MNAWEZA SEMA HALI YA HEWA..ILA RUBANI FST CHOICE TAIRI AZITOKI ANA RUDI JUU AKIJARIBU TENA BAHATI YAKE MMIMEGOMA ANANGALIA MAFUTA YANAMRUHUSU KUZUNGUKA JUU AKISUBIIRIA KAMA YATATOKA NJE TAIRI....
..IKIGOMA N KUIPELEKA KWENYE MAJI
UKISHUKA CHINI ARDHINI UWEZO WA KUWA KA MOTO N MKUBWA NA MOTO UNAANZIA KWA RUBANI...MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI WOTE
USHAURI
HUWA TAA WANAMAZOEZI YA EMERGENCY NA HATA AMBULANCE KUPITA MTAANX WASIOJUA UNAWEZA HISI AJALI
MAZOEZI HAYA YAFANYIKE NA KWENYE MAJI PIA NDEGE IKIWA JUU ..UKIANGALIA WAFANYAKAZI WA NDEGE NDANI WA KWANZA KUJUA HALI SIO.RUBAN AKIFIKA KIMO FULAN ANACOMAND EVACUATION
AJABU MAJALIWA AAWAFUNGULIA MLANGO WAKATI WAO NDIO WA KWANZA KUFUNGUA EMERGENCY DOOR NA KUKAA PALE KWENYE WING WAKIVUTA WALIO NA FLJKT KURUKA KWENYE MAJI UKIONA INA SINK UNARUHUSIWA KUANZA NA KUWAACHIA WALIOBAKIA WAPAMBANE NA HALI ZAO.
.SWALI WALITANGAZIWA NA RUBAN KUFUNGUA MLANGO??ANAJUA RUBAN NA CREW WALIOPONA
2.KAMA WALITANGAZIWA IWEJE AWAKAFUNGUA MLANGO WAKATI NDEGE KABLA YA KUONDOKA WANAPEWA ABIRIA DEMO YA KURUKA WAKIWA WANA EMERGENCY KWA MAJI NA NCHI KAVU...NYWAY EMERGENCY HAINA ADBU PENGINE HATA WALIFAINT WALIPOPELEKWA TAARIFA KUFUNGUA MLANGO..POLEN MA CREW WOTE.......
HIZI NDEGE ZIPELEKE CREW KWENYE MAZOEZI YA MAJI KINA KIFUPI WARUKIE HUMO TUSISUBIRI KUZAMA ZIWAN....
RIP ALL
Asante kwa maelezo mazuri. Seems wewe ni expert. Nakiri kuwa kuna shida kwenye huu mlolongo mzima .
Na Ikama kulikuwa na communication kati ya Ruban na Crew yake ndani ya ndege , milango ya Emergency yote ilitakiwa iwe standby huku wahudumu wakitoa maelezo nini cha kufanya.
Naamini kama kungekuwa na hizi efforts , tungekuwa na majeraha tu.
Inaonekana hata team ya Precision haikujua nini cha kufanya aidha kwa kutokujua ruban anapanga kufanya nini au kwa kukosa Experience ya haya mambo.
Nimeambiwa na moja wa mtu wa usalama wa eneo lile kuwa , ndani ya ile ndege mmoja wa wahudumu nae alikuwa ana struggle mpaka dogo alipokuja kuvunja mlango nae ndio akachomoka.
Mkurugenzi wa Precision akamatwe na awe chini ya ulinzi.
Kwa maelezo hapo juu ni wazi kuwa hata rubani hakujua anafanya nini , maana anayo access ya kufungua Emergency doors palepale kwenye Dashboard yake .... Kama hakuweza kufanya hivyo seems hitilafu imetokea out of knowing.
Lakini pia Inawezekana Mafuta yalikata na ndio maana akawa anashindwa kurudi mwanza , akawa ana force kutua pale ......
The other thing .. timu ya mawasiliano nchii kavu ikamatwe na iwekwe chini ya ulinzi ,
kuna uhuni umefanyika. Watu wa kwanza kujua kuwa hii ndege inadondoka Soon ni watu wa mawasiliano ya nchi kavu , ilitegemewa wafike eneo la tukio a minute baada ya ndege kudondoka.... wamefika pale 50 minutes baadae kuja kutoa maiti .....
Nimezikagua maiti zote, hakuna maiti ambayo ina injury au heavy bleeding ... maiti zimetoka safi Na nzima . The likelihood kuwa walizidiwa na maji na kukosa hewa ni asilimia 100%. Maana nyingine zilikuwa zimevimba.... hata Rubaga mwili wake umeathiriwa na maji.
Kwenye ndege velocity ya maji kuingia ndani ya ndege ilikuwa ni ndogo but exponentially
Nasema hili shirika lifungiwe ndio tuanze kujadili .... ni criminals and they need to be investigated na kupelekwa Polisi na mahakamani